Maulaga59
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 2,984
- 2,971
Hao ni wachambuzi wa magodoro ya GSM.
Hao wachambuzi wa gsm.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wachambuzi wa gsm.
Kanye ulale kesho alfajiri uamkie Cas kushitakiKwanza nawapongeza wachezaji wa Simba kwa ari kubwa ya kupambana uwanjani walioinesha leo. Wamepigana kiume sana kuigania timu yao.
Lkn kwa upande mwingine, maamuzi tata ( in favour of Simba) yameendelea tena leo pale kwa Mkapa. ......watu wamenyimwa penati na pia goli lao limekataliwa. Wala huhitaji kurudia kuangalia matukio hayo zaidi ya mara moja. Ikumbukwe kuwa ktk ligi ya NBC kumekuwa na utata mwingi wa kimaamuzi dhidi ya timu pinzani zinapocheza na Simba. Leo hata wachambuzi hawajatofautiana katika ruling ya matukio husika. Clear goal, clear penati
Nimeanza kuogopa
Kelele ni kawaida yao, viumbe vinaishi kwenye dimbwi lao wanaloliita uwanja pale bondeni unategemea nini....aliyewaita Utopolo aliangalia mbaaaali sana
Hiyo mikono ya mchezaji ilishazidi, kanout ameonekana katika mkimbio,[color=redkabla ya mpira kupigwa tayari walikua offside watu wanne,[/color] hao ndio waliomblock kanout asimark huo mpira. Acheni ushabiki wa chuki kwa Simba mtaumia.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mm shabiki wa Simba kindaki ndaki ila ile ni penalty na lile ni goli wala co offside, ni kweli kuna wachezaji wa Berkane walikuwa offside lkn aliyefunga alikuwa nyuma ya mchezaji wetu, yani tumebebwa wazi wazi kabisa.[emoji23][emoji23]
Mkuu mi si Simba ila lile halikuwa goli, offside ya watu wanne unaita goli acha kunywa mataputapu uone vizuri.
Kwanza nawapongeza wachezaji wa Simba kwa ari kubwa ya kupambana uwanjani walioinesha leo. Wamepigana kiume sana kuigania timu yao.
Lkn kwa upande mwingine, maamuzi tata ( in favour of Simba) yameendelea tena leo pale kwa Mkapa. ......watu wamenyimwa penati na pia goli lao limekataliwa. Wala huhitaji kurudia kuangalia matukio hayo zaidi ya mara moja. Ikumbukwe kuwa ktk ligi ya NBC kumekuwa na utata mwingi wa kimaamuzi dhidi ya timu pinzani zinapocheza na Simba. Leo hata wachambuzi hawajatofautiana katika ruling ya matukio husika. Clear goal, clear penati
Nimeanza kuogopa
😂 Msinichoshe Mambo yao tuwaachie wao walete varMm shabiki wa Simba kindaki ndaki ila ile ni penalty na lile ni goli wala co offside, ni kweli kuna wachezaji wa Berkane walikuwa offside lkn aliyefunga alikuwa nyuma ya mchezaji wetu, yani tumebebwa wazi wazi kabisa.
Alafu muda wa nyongeza pia tumebebwa, mpira ulisimama kwa takribani dk 6 lkn refa akaongeza dk 4 alafu ndani ya hzo dk 4 zimechezwa mbili, tunamshukuru refa na waamuzi kwa ujumla, Simba nguvumoya.
tangulia mwenge ukasaidie kuzima moto wa magodoroNaunga mkono
Mtu na mkewe wamepigwa na kitu chenye ncha butuMm shabiki wa Simba kindaki ndaki ila ile ni penalty na lile ni goli wala co offside, ni kweli kuna wachezaji wa Berkane walikuwa offside lkn aliyefunga alikuwa nyuma ya mchezaji wetu, yani tumebebwa wazi wazi kabisa.
Alafu muda wa nyongeza pia tumebebwa, mpira ulisimama kwa takribani dk 6 lkn refa akaongeza dk 4 alafu ndani ya hzo dk 4 zimechezwa mbili, tunamshukuru refa na waamuzi kwa ujumla, Simba nguvumoya.
We ni uto acha makasirikoMm shabiki wa Simba kindaki ndaki ila ile ni penalty na lile ni goli wala co offside, ni kweli kuna wachezaji wa Berkane walikuwa offside lkn aliyefunga alikuwa nyuma ya mchezaji wetu, yani tumebebwa wazi wazi kabisa.
Alafu muda wa nyongeza pia tumebebwa, mpira ulisimama kwa takribani dk 6 lkn refa akaongeza dk 4 alafu ndani ya hzo dk 4 zimechezwa mbili, tunamshukuru refa na waamuzi kwa ujumla, Simba nguvumoya.
Hao wachambuzi wa gsm.
Wivu umekujaa hadi kwenye koo. Ulidhani na kuombea Simba wafungwe siyo. Simba ni level nyingine kitaifa na kimataifa. Ngurumo zake huwa zinatetemesha mbingu na ulimwengu!
Huu ni uzi gani? Mods wana huruma sana
Mashabiki wa Yanga imewauma utadhani ndo timu yao imechezaKwanza nawapongeza wachezaji wa Simba kwa ari kubwa ya kupambana uwanjani walioinesha leo. Wamepigana kiume sana kuigania timu yao.
Lkn kwa upande mwingine, maamuzi tata ( in favour of Simba) yameendelea tena leo pale kwa Mkapa. ......watu wamenyimwa penati na pia goli lao limekataliwa. Wala huhitaji kurudia kuangalia matukio hayo zaidi ya mara moja. Ikumbukwe kuwa ktk ligi ya NBC kumekuwa na utata mwingi wa kimaamuzi dhidi ya timu pinzani zinapocheza na Simba. Leo hata wachambuzi hawajatofautiana katika ruling ya matukio husika. Clear goal, clear penati
Nimeanza kuogopa
Kanye ulale kesho alfajiri uamkie Cas kushitaki
Refa wa leo alivutishwa mshiko simba ishinde