Waamuzi dhidi ya mechi za Simba

Hii hoja kwamba ni goal halal kwa vile aliyefunga hakuwa offside naishangaa sana.
Nilivyowaona mimi wale jamaa
1. walikuwa kwenye nafasi ya kuotea
2. wote walijishughuli na mpira
KWA HIYO
Ni clear offside.
Vipi Kagere hakuuingilia mchezo kwenye mpira aliopiga sakho?
Je kwenye goli la Berkane ni vipi unasema ni clear offside ilihali mfungaji alikuwa onside position ukilinganisha na eneo alilokuwepo Kanoute?
 
Kubebwa abebe Simba, Utopolo ndio mnaumia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bora wewe unajishana kwa hoja. Japo unaongea uongo
Wenzako wanatukana tu
Hii hoja kwamba ni goal halal kwa vile aliyefunga hakuwa offside naishangaa sana.
Nilivyowaona mimi wale jamaa
1. walikuwa kwenye nafasi ya kuotea
2. wote walijishughuli na mpira
KWA HIYO
Ni clear offside.
 
Ogopa hivyo hivyo Mwana 🤣🤣🤣🤣
 
Hii mbinu aliifichua Haji Manara. Probably anajua nn kilikuwa kinafanyika huko alikotoka
Na mimi nimeliona hilo, refa alipunguza muda. Ilibidi afidie muda halisi uliopotea ili wale Berkane wafungwe goli la pili, lakini ndo hivyo akamaliza mechi
 
Utopolo kimataifa wanaongoza kundi lao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Simba ni dude fulani kubwa sana. Wazimbabwe walipigwa 4 hapa hapa Mkapa wakataka kususia mechi. Jana waarabu walipoona hali tete na Banda ndio kaingia wakaanza kususia mechi...Sasa wewe umesikia timu kuanzia 1985 imepoteza nyumbani mara moja tu halafu ukakimbilia kubet kuwa wanafungwa... ona sasa Muhindi amekula hela umebaki kulia huku
 
Siku zote timu zetu zikiendaga kucheza na Waarab huko kwao, nini kinawatokea (wanapewa pipi kulamba au kudhulumiwa?). It's fair game ukiona vipi wewe kama shabiki basi nenda CAF kakate rufaa kuja kulalamika hapa ni sawa na kujamba angani.
 
Goli halari ni lile la Rivers United.
La hapa na ugenini, moja tu.
 
Hii mbinu aliifichua Haji Manara. Probably anajua nn kilikuwa kinafanyika huko alikotoka
inabidi tumpelekee Mama haya malalamiko, Berkane wameonewa sana na TFF pamoja na refarii
 
Imewauma Sisi Kucheza Na Somalia Kwa Ajili Ya Kuanzisha Michango Nchini Ya Kusaidia Watu Wenye Magonjwa Adimu Kama Ya Ali Kimara, Basi Tuwape Nyie ile Ngao Ya Jamii Maana Ni Kama Mnataka Kutupangia Cha Kufanya.
Sasa mzee na wewe Somalia itamuuma nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…