Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi Kagere hakuuingilia mchezo kwenye mpira aliopiga sakho?Hii hoja kwamba ni goal halal kwa vile aliyefunga hakuwa offside naishangaa sana.
Nilivyowaona mimi wale jamaa
1. walikuwa kwenye nafasi ya kuotea
2. wote walijishughuli na mpira
KWA HIYO
Ni clear offside.
Simba kabebwa, yule refa kapewa rushwa.
Hii hoja kwamba ni goal halal kwa vile aliyefunga hakuwa offside naishangaa sana.
Nilivyowaona mimi wale jamaa
1. walikuwa kwenye nafasi ya kuotea
2. wote walijishughuli na mpira
KWA HIYO
Ni clear offside.
Ogopa hivyo hivyo Mwana 🤣🤣🤣🤣Kwanza nawapongeza wachezaji wa Simba kwa ari kubwa ya kupambana uwanjani walioinesha leo. Wamepigana kiume sana kuigania timu yao.
Lkn kwa upande mwingine, maamuzi tata ( in favour of Simba) yameendelea tena leo pale kwa Mkapa. ......watu wamenyimwa penati na pia goli lao limekataliwa. Wala huhitaji kurudia kuangalia matukio hayo zaidi ya mara moja. Ikumbukwe kuwa ktk ligi ya NBC kumekuwa na utata mwingi wa kimaamuzi dhidi ya timu pinzani zinapocheza na Simba. Leo hata wachambuzi hawajatofautiana katika ruling ya matukio husika. Clear goal, clear penati
Nimeanza kuogopa
Ogopa hivyo hivyo Mwana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na mimi nimeliona hilo, refa alipunguza muda. Ilibidi afidie muda halisi uliopotea ili wale Berkane wafungwe goli la pili, lakini ndo hivyo akamaliza mechi
Kubebwa abebe Simba, Utopolo ndio mnaumia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utopolo kimataifa wanaongoza kundi lao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2149455
We Kweli Hujui Offside, Aliyepiga Kichwa Alikuwa Onside.[emoji23][emoji23]
Mkuu mi si Simba ila lile halikuwa goli, offside ya watu wanne unaita goli acha kunywa mataputapu uone vizuri.
Imewauma Sisi Kucheza Na Somalia Kwa Ajili Ya Kuanzisha Michango Nchini Ya Kusaidia Watu Wenye Magonjwa Adimu Kama Ya Ali Kimara, Basi Tuwape Nyie ile Ngao Ya Jamii Maana Ni Kama Mnataka Kutupangia Cha Kufanya.Utopolo kimataifa wanaongoza kundi lao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2149455
Sawa mke wangu
mi nilikuwepo uwanjani LILE SIO GOLIIIIII[emoji23][emoji23]
Mkuu mi si Simba ila lile halikuwa goli, offside ya watu wanne unaita goli acha kunywa mataputapu uone vizuri.
Siku zote timu zetu zikiendaga kucheza na Waarab huko kwao, nini kinawatokea (wanapewa pipi kulamba au kudhulumiwa?). It's fair game ukiona vipi wewe kama shabiki basi nenda CAF kakate rufaa kuja kulalamika hapa ni sawa na kujamba angani.Kwanza nawapongeza wachezaji wa Simba kwa ari kubwa ya kupambana uwanjani walioinesha leo. Wamepigana kiume sana kuigania timu yao.
Lkn kwa upande mwingine, maamuzi tata ( in favour of Simba) yameendelea tena leo pale kwa Mkapa. ......watu wamenyimwa penati na pia goli lao limekataliwa. Wala huhitaji kurudia kuangalia matukio hayo zaidi ya mara moja. Ikumbukwe kuwa ktk ligi ya NBC kumekuwa na utata mwingi wa kimaamuzi dhidi ya timu pinzani zinapocheza na Simba. Leo hata wachambuzi hawajatofautiana katika ruling ya matukio husika. Clear goal, clear penati
Nimeanza kuogopa
inabidi tumpelekee Mama haya malalamiko, Berkane wameonewa sana na TFF pamoja na refariiHii mbinu aliifichua Haji Manara. Probably anajua nn kilikuwa kinafanyika huko alikotoka
Sasa mzee na wewe Somalia itamuuma nani?Imewauma Sisi Kucheza Na Somalia Kwa Ajili Ya Kuanzisha Michango Nchini Ya Kusaidia Watu Wenye Magonjwa Adimu Kama Ya Ali Kimara, Basi Tuwape Nyie ile Ngao Ya Jamii Maana Ni Kama Mnataka Kutupangia Cha Kufanya.