mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Nadhani kila mtu ataamua kama goal au sio goal kutegemea na ushabiki mimi siongelei hili sababu ukweli najuwa mwenyewe ila nilikuwa natizama beki za Simba vipi hawako katika line moja wengine wako mbele na wengine wako nyuma ni kama hakuna kiongozi wa defence kama reference anapokuwa yeye wengine wanaendana na yeye ila hapa kama kuna makundi mawili hili linge wa cost kuna jambo la kujifunza kwa benchi la ufundi.Aliyefunga ni huyo aliyeoneshwa mshale, angalia alipo na alipokuwepo Kanoute. Hao wegine hawakugusa mpira. Halafu kama wanaadhibiwa kwa kuuingilia mchezo vipi Kagere aliyeuruka mpira je hakuingilia mchezo wakati akiwa yupo kwenye nafasi ya kuotea (offside position)View attachment 2149224
Offside inaamuliwa wakati mpira unapigwa, mfungaji yupo kwenye position ipi onside au offside position.
Kuhusu mkono kuzidi sio kweli, angalia vizuri position ya kichwa cha Kanoute vs mkono wa huyo mchezaji
kwenye sheria ya offside mkono hauhusikiHiyo mikono ya mchezaji ilishazidi, kanout ameonekana katika mkimbio,kabla ya mpira kupigwa tayari walikua offside watu wanne, hao ndio waliomblock kanout asimark huo mpira. Acheni ushabiki wa chuki kwa Simba mtaumia.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
mi nilikuwepo uwanjani LILE SIO GOLIIIIII
Siku zote timu zetu zikiendaga kucheza na Waarab huko kwao, nini kinawatokea (wanapewa pipi kulamba au kudhulumiwa?). It's fair game ukiona vipi wewe kama shabiki basi nenda CAF kakate rufaa kuja kulalamika hapa ni sawa na kujamba angani.
Hapa kuna mambo mawili tu ya kufanya. Hayo yote yakishindikana ni vema mkae kimya kuliko kutupanulia hayo madomo kunuka yenu.
1. Kuandamana hadi kwa mama ikulu au
2. Kwenda CAS
Mmewasindikiza airport wakati was kuondoka kweli. Au mnapokea wageni halafu mnawatelekeza kwa Mkapa.Kwanza nawapongeza wachezaji wa Simba kwa ari kubwa ya kupambana uwanjani walioinesha leo. Wamepigana kiume sana kuigania timu yao.
Lkn kwa upande mwingine, maamuzi tata ( in favour of Simba) yameendelea tena leo pale kwa Mkapa. ......watu wamenyimwa penati na pia goli lao limekataliwa. Wala huhitaji kurudia kuangalia matukio hayo zaidi ya mara moja. Ikumbukwe kuwa ktk ligi ya NBC kumekuwa na utata mwingi wa kimaamuzi dhidi ya timu pinzani zinapocheza na Simba. Leo hata wachambuzi hawajatofautiana katika ruling ya matukio husika. Clear goal, clear penati
Nimeanza kuogopa
Referee aliyesema ni offside hajui mpira?Tafuta mtu anayejua mpira then mwambie arudie kuangalia lile tukio. Wewe usiangalie
Ona huyu sijui anaongea nini aliyewapa jina la utopolo hakukosea.Kwanza nawapongeza wachezaji wa Simba kwa ari kubwa ya kupambana uwanjani walioinesha leo. Wamepigana kiume sana kuigania timu yao.
Lkn kwa upande mwingine, maamuzi tata ( in favour of Simba) yameendelea tena leo pale kwa Mkapa. ......watu wamenyimwa penati na pia goli lao limekataliwa. Wala huhitaji kurudia kuangalia matukio hayo zaidi ya mara moja. Ikumbukwe kuwa ktk ligi ya NBC kumekuwa na utata mwingi wa kimaamuzi dhidi ya timu pinzani zinapocheza na Simba. Leo hata wachambuzi hawajatofautiana katika ruling ya matukio husika. Clear goal, clear penati
Nimeanza kuogopa
Upo sawa kabisa wife
Unakumbuka Medie Kagere alichomoka akawa kabaki yeye na Kipa lkn mwamuzi wa pembeni akaamuru kaotea?
Kwenye marejeo ilionekana alikuwa onside kwahiyo ngoma draw
Mama karudi nenda kashtakiSimba kabebwa, yule refa kapewa rushwa.