Waamuzi dhidi ya mechi za Simba

Waamuzi dhidi ya mechi za Simba

Aliyefunga ni huyo aliyeoneshwa mshale, angalia alipo na alipokuwepo Kanoute. Hao wegine hawakugusa mpira. Halafu kama wanaadhibiwa kwa kuuingilia mchezo vipi Kagere aliyeuruka mpira je hakuingilia mchezo wakati akiwa yupo kwenye nafasi ya kuotea (offside position)View attachment 2149224
Nadhani kila mtu ataamua kama goal au sio goal kutegemea na ushabiki mimi siongelei hili sababu ukweli najuwa mwenyewe ila nilikuwa natizama beki za Simba vipi hawako katika line moja wengine wako mbele na wengine wako nyuma ni kama hakuna kiongozi wa defence kama reference anapokuwa yeye wengine wanaendana na yeye ila hapa kama kuna makundi mawili hili linge wa cost kuna jambo la kujifunza kwa benchi la ufundi.
 
Offside inaamuliwa wakati mpira unapigwa, mfungaji yupo kwenye position ipi onside au offside position.

Kuhusu mkono kuzidi sio kweli, angalia vizuri position ya kichwa cha Kanoute vs mkono wa huyo mchezaji

Nenda kachezeshe wewe unayejua maamuzi sahihi.

Usikute hapo umekaa Bar unakula ulabu Huna hata Certificate ya match analysis unasema lile ni Goli. Kma ni goli peleka vyeti vyako CAF uombe kuchezesha wewe MPOGOLO
 
Hapa kuna mambo mawili tu ya kufanya. Hayo yote yakishindikana ni vema mkae kimya kuliko kutupanulia hayo madomo kunuka yenu.
1. Kuandamana hadi kwa mama ikulu au
2. Kwenda CAS
 
Hiyo mikono ya mchezaji ilishazidi, kanout ameonekana katika mkimbio,kabla ya mpira kupigwa tayari walikua offside watu wanne, hao ndio waliomblock kanout asimark huo mpira. Acheni ushabiki wa chuki kwa Simba mtaumia.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
kwenye sheria ya offside mkono hauhusiki
 
Mmmmh
Siku zote timu zetu zikiendaga kucheza na Waarab huko kwao, nini kinawatokea (wanapewa pipi kulamba au kudhulumiwa?). It's fair game ukiona vipi wewe kama shabiki basi nenda CAF kakate rufaa kuja kulalamika hapa ni sawa na kujamba angani.
 
Masomo kunuka....
Hapa kuna mambo mawili tu ya kufanya. Hayo yote yakishindikana ni vema mkae kimya kuliko kutupanulia hayo madomo kunuka yenu.
1. Kuandamana hadi kwa mama ikulu au
2. Kwenda CAS
 
Kwanza GSM walifanikiwa kuzima ule moto? Nilikuwa bize na ya Simba Sc
 
Mpira wa Africa una aina yake ya kuchezea sio huo tunao uona kwa wenzetu jana Asec Memosa wamepewa penalty hadi aibu
 
Kwanza nawapongeza wachezaji wa Simba kwa ari kubwa ya kupambana uwanjani walioinesha leo. Wamepigana kiume sana kuigania timu yao.
Lkn kwa upande mwingine, maamuzi tata ( in favour of Simba) yameendelea tena leo pale kwa Mkapa. ......watu wamenyimwa penati na pia goli lao limekataliwa. Wala huhitaji kurudia kuangalia matukio hayo zaidi ya mara moja. Ikumbukwe kuwa ktk ligi ya NBC kumekuwa na utata mwingi wa kimaamuzi dhidi ya timu pinzani zinapocheza na Simba. Leo hata wachambuzi hawajatofautiana katika ruling ya matukio husika. Clear goal, clear penati
Nimeanza kuogopa
Mmewasindikiza airport wakati was kuondoka kweli. Au mnapokea wageni halafu mnawatelekeza kwa Mkapa.
 
Hivi timu ya wanachi inaondoka lini kwenda Mogadishu kwenye mechi ya marudiano na Somalia worries.
 
Kwanza nawapongeza wachezaji wa Simba kwa ari kubwa ya kupambana uwanjani walioinesha leo. Wamepigana kiume sana kuigania timu yao.
Lkn kwa upande mwingine, maamuzi tata ( in favour of Simba) yameendelea tena leo pale kwa Mkapa. ......watu wamenyimwa penati na pia goli lao limekataliwa. Wala huhitaji kurudia kuangalia matukio hayo zaidi ya mara moja. Ikumbukwe kuwa ktk ligi ya NBC kumekuwa na utata mwingi wa kimaamuzi dhidi ya timu pinzani zinapocheza na Simba. Leo hata wachambuzi hawajatofautiana katika ruling ya matukio husika. Clear goal, clear penati
Nimeanza kuogopa
Ona huyu sijui anaongea nini aliyewapa jina la utopolo hakukosea.
 
Unakumbuka Medie Kagere alichomoka akawa kabaki yeye na Kipa lkn mwamuzi wa pembeni akaamuru kaotea?

Kwenye marejeo ilionekana alikuwa onside kwahiyo ngoma draw
 
Nadhani mama ako alikuwa wife wa mtu. Sidhani kama alikupata wewe kwenye mageto ya masela
Usiamini kumwita mtu wife ni kumdharau. Hata kama una changamoto za uelewa, stop thinking the way you do
Upo sawa kabisa wife
 
Mmmmmh
Unakumbuka Medie Kagere alichomoka akawa kabaki yeye na Kipa lkn mwamuzi wa pembeni akaamuru kaotea?

Kwenye marejeo ilionekana alikuwa onside kwahiyo ngoma draw
 
Back
Top Bottom