Waamuzi dhidi ya mechi za Simba

Waamuzi dhidi ya mechi za Simba

Imewauma Sisi Kucheza Na Somalia Kwa Ajili Ya Kuanzisha Michango Nchini Ya Kusaidia Watu Wenye Magonjwa Adimu Kama Ya Ali Kimara, Basi Tuwape Nyie ile Ngao Ya Jamii Maana Ni Kama Mnataka Kutupangia Cha Kufanya.
Yaani sisi ituume kisa Yanga kacheza na vilaza ambao timu yetu ya taifa ili wapiga 8-1 hao al-shabab.
Sisi tunafurahi Yanga nae anashiriki kimataifa ambapo kundi lake ni Somalia, Urusi na Ukraine.
 
Kwanza nawapongeza wachezaji wa Simba kwa ari kubwa ya kupambana uwanjani walioinesha leo. Wamepigana kiume sana kuigania timu yao.
Lkn kwa upande mwingine, maamuzi tata ( in favour of Simba) yameendelea tena leo pale kwa Mkapa. ......watu wamenyimwa penati na pia goli lao limekataliwa. Wala huhitaji kurudia kuangalia matukio hayo zaidi ya mara moja. Ikumbukwe kuwa ktk ligi ya NBC kumekuwa na utata mwingi wa kimaamuzi dhidi ya timu pinzani zinapocheza na Simba. Leo hata wachambuzi hawajatofautiana katika ruling ya matukio husika. Clear goal, clear penati
Nimeanza kuogopa
HUO NDIO UKUBWA WA TIMU. SIMBA SIO NAMUNGO NOW
 
Unakumbuka Medie Kagere alichomoka akawa kabaki yeye na Kipa lkn mwamuzi wa pembeni akaamuru kaotea?


Kwenye marejeo ilionekana alikuwa onside kwahiyo ngoma draw
Haikuwa ofside ile baada ya kuona marudio, na hawaizungumzii. Wala Simba hawalalamiki.
Wanaolalamika ni BongoBarkane fans
 
Simba ikishinda

IMG_20220314_125812.jpg
 
Yaani sisi ituume kisa Yanga kacheza na vilaza ambao timu yetu ya taifa ili wapiga 8-1 hao al-shabab.
Sisi tunafurahi Yanga nae anashiriki kimataifa ambapo kundi lake ni Somalia, Urusi na Ukraine.
Inawauma Ndio Sisi Kufanya Jambo Kama Lile Ndo Maana Mnatudhihaki, Sisi Tunatimiza Wajibu Wetu Ndani Ya Jamii Kama Timu Ya Wananchi Na Mabingwa Wa Ngao Ya Jamii...Au Mnataka Tuwape Nyie ile Ngao?
 
Huyo mwamuzi ana bahati sana. Wanaberkane wangemchapa sana. Kwa upande wangu lile ni goli haswaa na wala co offside
 
Kupitia uzi huu (niliouanzisha mwenyewe) nimejifunza kuwa Jf ni jukwaa muhimu sana (Pamoja na uwepo wa baadhi ya wachangiaji wenye dalili zote za mental retardation).
Nimejifunza kuwa watu wanazipenda sana timu zao. Pia, watu wanapenda sana mpira.
Nashauri tuwe na utaratibu wa kujikita kwenye hoja (hata kama haikufurahishi sana)
NB
Unaweza kuomba ushauri kwa mtu juu ya nini au vp uchangie
 
Back
Top Bottom