Waamuzi kutoka Misri kuchezeshwa derby ni sawa lakini sio 100%

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Mimi ni mtanzania lakini kule uingereza ni mshabiki wa Arsenal. Kama ningekuwa mwamuzi na kuambiwa nikachezeshe mechi kati ya arsenal na Manchester united lazima ningeipendelea Arsenal tu. Kule Misri mm ni mshabiki wa Al-Masry.

Je, hawa wanaokuja huku hawana timu wanayoishabikia kati ya Simba na Yanga?
 
Bora nusu shari kuliko Shari kamili kule saudia wanatumia sana waamuzi kutoka nje
Hii ni nzuri mechi itakuwa na usawa
 
Bora nusu shari kuliko Shari kamili kule saudia wanatumia sana waamuzi kutoka nje
Hii ni nzuri mechi itakuwa na usawa
Swali ni wametumia njia (methodology) gani kuwachagua na kuwapatia hao waliowapata?
 
Tumeona mwamuzi kutoka Mauritania akiinyonga Yanga na Simba kwenye mechi zao.
Hakuna aliyenyongwa miaka yote Simba kaishia robo final ya cafcl kwa yanga halikuwa goli ila mahaba yalituzidi
Hawa waamuzi wamekuja mda sahihi kabisa
 
Refa akivurunda atawajibishwa na Nani?
Swali muhimu sana hili. Ukweli Mimi ningewapigia makofi bodi ya ligi kama wangesema kuwa kwenye mchezo huu watatumia VAR, hivyo watawaleta wataalam wa VAR kutoka Egypt.
 
Bora nusu shari kuliko Shari kamili kule saudia wanatumia sana waamuzi kutoka nje
Hii ni nzuri mechi itakuwa na usawa
Tulihitaji VAR kuliko makocha wa kigeni. Humana errors ni kwa binafamu wote bila kujali rangi Wala taifa lake
 
Tulihitaji VAR kuliko makocha wa kigeni. Humana errors ni kwa binafamu wote bila kujali rangi Wala taifa lake
Hawa wetu human error zimezidi wangekuwa madaktari Kila siku wangeacha mikasi tumboni kwa wagonjwa
Na hii inaenda kwa field zote kama tutaendelea na hizi incompetence basi ajira zitaendelea kuchukuliwa kama hivyo ambavyo zimechukuliwa na WA Egypt no one is safe ndio maana Simba na Yanga hazitaki kabisa makocha wa tz
 
Kwanini derby ya Misri wanatumia waamuzi kutoka nje pia? Inamaana hata kwao human error zipo nyingi. VAR ndiyo ingekuwa solution.
 
Kwanini derby ya Misri wanatumia waamuzi kutoka nje pia? Inamaana hata kwao human error zipo nyingi. VAR ndiyo ingekuwa solution.
Ni hatua ya kwanza tuifanye kwanza Kisha tukiona mapungufu ijayo itaboreshwa zaidi kimsingi tukitaka soka letu lipige hatua hata Ile bodi ya ligi tumpe CEO mmoja kutoka Germany kwa miaka minne ili tufike level za kucheza club world cup
 
una akili sana. Aliyetoa wazo la kuleta waamuzi kutoka nje hakukosea, it was fantastic kind of referring
 
una akili sana. Aliyetoa wazo la kuleta waamuzi kutoka nje hakukosea, it was fantastic kind of referring
wale marefa walikuwa juu ya mchezo uamuzi Bora kabisa
Mashabiki 51 elfu walikata tiketi ila hawakwenda uwanjani kuhofia fujo na huenda mechi isiwepo kwa kweli binafsi nasema bado adhabu inahitajika kwa wote waliotufikisha hapa Kasongo na Mguto pekee hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…