Waamuzi ligi Kuu wadhulumiwa PESA zao tangu mzunguko WA nne,Tff,azam,bodi ya ligi,nbc,gsm mko wapi?

ISOSTACY

Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
56
Reaction score
68
Hali ya waamuzi wa ligi kuu Tanzania ni mbaya, hawajapewa malipo yao tangu mzunguko WA nne WA ligi Kuu,licha ya uwepo wa wadhamini wengi. Si haki hata kidogo watu wanaenda vituoni wanachezesha mechi wengine wanazaidi ya mechi tatu hadi nne bila kupewa pesa yao. Kwa mazingira haya kweli tutapata ligi na matokeo ya haki. Udhamini wenu NBC, AZAM, GSM Unachafuliwa na watu wasio waadilifu hapo Tff na bodi ya ligi. Wadau wa soka wote tuungane kukataa uovu huu
 
Ya kweli haya kweli
 
Itasikitisha sana endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...
 
Hivi mnalipwaje kwanza tuanzie hapo..
 
Back
Top Bottom