Hakuna asiyejua ushabiki wa kimpira kwa simba na yanga kwa raia wengi wa Tanzania!
Pamoja na kuwepo sheria za mpira lakini mapenzi huwa hayafichiki kwa refa!
Kwanini mechi za Derby ya simba na yanga waamuzi wasitoke inje? Na TV itumike kama mbadala wa VAR?
Haya tuseme Refa wa inje hayupo,
sasa kwanini REFA wa Derby ni walewale kila siku kwani hatuna wengine!?
Hata mahakamani watuhumiwa wakikosa imani na hakimu hubadilishiwa!
Watu wakikosa imani na mwamuzi ukiwalazimisha hata kama yakija kutokea makosa ya kibinadamu katika uamuzi wake wataona kawafanyia kusudi inaweza kupelekea uhalifu kwa refawenyewe, watoto au mali zake kule