Nimejiona kilaza asee kwasababu niliruka uzi nikakimbilia kwenye komenti kufika tu nakutana na hii komenti yako ikabidi nirudi kwenye uzi kwanzaHuna akili.
Soma uzi wako halafu rudia comment yangu utaamini we ni kilaza
KANUNI ZA KUONGOZA LIGI KUU BARA UNAZIJUA?Hakuna asiyejua ushabiki wa kimpira kwa simba na yanga kwa raia wengi wa Tanzania!
Pamoja na kuwepo sheria za mpira lakini mapenzi huwa hayafichiki kwa refa!
Kwanini mechi za Derby ya simba na yanga waamuzi wasitoke inje? Na TV itumike kama mbadala wa VAR?
Haya tuseme Refa wa inje hayupo,
sasa kwanini REFA wa Derby ni walewale kila siku kwani hatuna wengine!?
Hata mahakamani watuhumiwa wakikosa imani na hakimu hubadilishiwa!
Watu wakikosa imani na mwamuzi ukiwalazimisha hata kama yakija kutokea makosa ya kibinadamu katika uamuzi wake wataona kawafanyia kusudi inaweza kupelekea uhalifu kwa refawenyewe, watoto au mali zake kule
Kanuni ndo zinataka kila Derby achezeshe refa yule yule mmoja?KANUNI ZA KUONGOZA LIGI KUU BARA UNAZIJUA?
KANUNI ZA KUONGOZA LIGI KUU BARA UNAZIJUA?
Derby ni tofauti na michezo mingine kumbe hujui mpira!March 8 ni mwendelezo wa NBC PL,ni mchezo wa league kama michezo mingine.
Ni katika kuleta haki na imani tuhata kule uturuki kumekuwa na tatizo la waamuzi kulalamikiwa na waliamuaa mechi kati ya galatasaray s.k football club vs fenerbeçe s.k football club waamuzi watoke nje ya nchi ingawa bado hawajatekeleza.
Utofauti n upi mkuu?Derby ni tofauti na michezo mingine kumbe hujui mpira!
Kwani kwenye derby iliyopita ya Yanga na simba, alichezesha mwamuzi gani! Na hii ya tarehe 8 anachezesha mwamuzi gani?Kanuni ndo zinataka kila Derby achezeshe refa yule yule mmoja?
Bado unaamini huo mchezo ni kama mingineMarch 8 ni mwendelezo wa NBC PL,ni mchezo wa league kama michezo mingine.
Ukiachilia ishu ya kunyimwa uwanja, ARAJIGA Hatakiwi kuchezesha DerbyKwani kwenye derby iliyopita ya Yanga na simba, alichezesha mwamuzi gani! Na hii ya tarehe 8 anachezesha mwamuzi gani?
Halafu kwa mtazamo wangu ungewashauri TFF na ile kamati ya waamuzi kujikita kwenye kuzalisha waamuzi bora, makini, waadilifu na wenye sifa stahiki ili kuchezesha mpira wa miguu kwa kufuata sheria 17 za soka! Maana wengi wao kwa sasa hakuna kitu. Badala ya kukodi waamuzi kutoka nje.
Mnataka achezeshe nani?Ukiachilia ishu ya kunyimwa uwanja, ARAJIGA Hatakiwi kuchezesha Derby