Nimekuwa nikishuhudia mauza uza katika mechi nyingi za derby na kunifanya nizidharau sana na kwamba wanaoumia na matokeo hayo wengi wana Matatizo mengine ya kiakili.
Kama TFF wamekubali kuleta waamuzi kutoka nje,basi huenda mechi ikawa na ladha halisi ya Derby.
Tumezoea kuona waamuzi wakifanya makosa na kujitahidi kubalance makosa yao kwa kuendelea kufanya makosa.
Tumeona eti kwenye derby mtu hata akifanyiwa madhambi namna gani mradi waliofanya madhambi ni timu fulani hususan ndani ya penalty box,penalty haitolewi.
Soma Pia: Mechi ya Yanga dhidi ya Simba, June 25 kuchezeshwa na Waamuzi kutoka Misri
Kuna timu za mchangani wanaamini penalty sio sehemu ya mchezo hivyo ikitolewa huwa mwamuzi anaonekana aidha hajui ama amekula mlungula.
Kwa sasa ukicheza kizemba hata kama ni penalty sita zitatengwa tu j