Nimekuwa nikishuhudia mauza uza katika mechi nyingi za derby na kunifanya nizidharau sana na kwamba wanaoumia na matokeo hayo wengi wana Matatizo mengine ya kiakili.
Kama TFF wamekubali kuleta waamuzi kutoka nje,basi huenda mechi ikawa na ladha halisi ya Derby.
Tumezoea kuona waamuzi wakifanya makosa na kujitahidi kubalance makosa yao kwa kuendelea kufanya makosa.