Waamuzi wa kike kuchezesha mechi za kiume ni kuwadhalilisha hadharani

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Kwanza nikiri wazi naamini football sio mchezo mzuri Kwa wanawake kushiriki katika kucheza au uamzi labda kwenye uongozi na nafasi nyingine katika football

Si busara wala tamaduni zetu Africa wanawake kuchangamana na wanaume hivo bila stara

Football ni mchezo wa kugusana
Ni rahisi mwanamke kuguswa sehemu za Siri kama matiti, makalio au uke bila dhamira au Kwa kushawishiwa

Mavazi wanayovaa
Mwanamke kuvaa bukta za wanaume ni kuwaweka uchi hadharani, basi nashauri kama Kuna changamoto ya waumuzi WA kiume, hawa mabinti watafutiwe mavazi ya stara

Waamuzi wa kike wanakosa kujiamini
Hii ni asili ni ngumu Kwa mwanamke kufanya maamzi ya hekima mbele ya wanaume, wengi hupata woga na ku panic

Hapa hutawaona watu wa haki za binadamu na wanawake kuja kuwatetea wanawake waamuzi wa kike, wapo kimya dhidi ya udhalilishaji huu
 
Tukirudi nyuma miaka 75 watu walikuwa uchi kabisa na tulizoea kuona hizo nyonyo, paja mpaka k na Wala hakuna maajabu mno. Mbona wanyama hawavai nguo bana hebu ishi kiasili. Watu waliweka kiongozi hapo mbele nyonyo ilikuwa wazi ,huwezi ishi hapo kwa king mswati nakuona
 
Peleka ujinga wako huko. Tamaduni za kiafrika kuhusu mavazi ni zipi? Nenda kwa wa handzabe, wamasai, kule afrika ya kusini ambao hawajaruhuru Mila za mwarabu uone waafrika wanavyotakiwa kuvaa
 
Kwanza nikiri wazi naamini football sio mchezo mzuri Kwa wanawake kushiriki katika kucheza au uamzi labda kwenye uongozi na nafasi nyingine katika football

Si busara wala tamaduni zetu Africa wanawake kuchangamana na wanaume hivo bila stara

Football ni mchezo wa kugusana
Ni rahisi mwanamke kuguswa sehemu za Siri kama matiti, makalio au uke bila dhamira au Kwa kushawishiwa

Mavazi wanayovaa
Mwanamke kuvaa bukta za wanaume ni kuwaweka uchi hadharani, basi nashauri kama Kuna changamoto ya waumuzi WA kiume, hawa mabinti watafutiwe mavazi ya stara

Waamuzi wa kike wanakosa kujiamini
Hii ni asili ni ngumu Kwa mwanamke kufanya maamzi ya hekima mbele ya wanaume, wengi hupata woga na ku panic

Hapa hutawaona watu wa haki za binadamu na wanawake kuja kuwatetea wanawake waamuzi wa kike, wapo kimya dhidi ya udhalilishaji huu
Pole sana mkuu kwa kukwazwa na hili suala. Uamuzi wa busara ni wewe kuhamia Afghanistan ili kuondokana na hizi kero. Huko wanawake hawaruhusiwi hata kuonyesha pua hadharani.
 
Tukirudi nyuma miaka 75 watu walikuwa uchi kabisa na tulizoea kuona hizo nyonyo, paja mpaka k na Wala hakuna maajabu mno. Mbona wanyama hawavai nguo bana hebu ishi kiasili. Watu waliweka kiongozi hapo mbele nyonyo ilikuwa wazi ,huwezi ishi hapo kwa king mswati nakuona
Wewe utamruhusu Binti yako au mkeo afanye hiyo kazi?
 
Mbona kawaida mkuu ishu kubwa ni mapokeo yaani unavyotizama , Sasa kuamua ni kanuni na kuangalia fair play,
Kama anajua kanuni na anapenda muache afanye Sasa unataka avae gauni.kweli.ndio.akimbizane na wachezaji.
Sio kila kazi laZima afanye mwanamke
Kuna mgawanyo wa majukumu
Ndo maana zamani wanawake hawakushiriki kuwinda, vita na kazi zingine ngumu ila kulinda utu na heshima zao
 
Walishiriki vita wewe wa wapi bana.
Kuna queen mmoja wa Angola mtafute aliwachachafya wareno pia Kuna mmoja wa huko buha Burundi Naye alikuwa ni hatari.
Pia wanawake waliwinda bana , kwani hawezi tega hata mtego wa kanga akanasa.
Mie nimeshuhudia ndugu wa karibu mno wa kike anatega swala akamnasa na tukala just the skills niga
 
Kuna baadhi ya watu watakupinga. Ila hoja uliyoileta ina mashiko. Kipindi cha nyuma waamuzi wachache wa kike walipewa nafasi ya kuchezesha ligi ya wanaume kwa sababu hakukuwepo na ligi ya mpira wa wanawake nchini!
Ila kwa sasa wanawake wana ligi yao, na inafanya vizuri tu. Na wanawake hao hao ndiyo wanaochezesha kwenye hiyo ligi yao!

Sasa cha kujiuliza; huku kwenye ligi ya wanaume wanachezesha kwa kigezo gani? Je, ni kwa sababu ya uhaba wa waamuzi wa kiume? Kinachokera zaidi hawa waamuzi wa kike baadhi yao wamekuwa wakichezesha mechi za ligi kuu ya wanaume kwa kiwango cha chini sana! Lakini wameendelea tu kupewa nafasi!

Hivi siku ikitokea wakashambuliwa uwanjani na wachezaji vichaa kama walivyowahi kufanyiwa akina Izrael Nkongo, kutokana na kushindwa kwao kumudu kuchezesha michezo; nani atakaye laumiwa?
 
Walishiriki vita wewe wa wapi bana.
Kuna queen mmoja wa Angola mtafute aliwachachafya wareno pia Kuna mmoja wa huko buha Burundi Naye alikuwa ni hatari.
Pia wanawake waliwinda bana , kwani hawezi tega hata mtego wa kanga akanasa.
Mie nimeshuhudia ndugu wa karibu mno wa kike anatega swala akamnasa na tukala just the skills niga
Ubishi unaujua
 
Kinachozingatiwa ni taaluma na weledi si jinsia.
Kuna mgawanyo wa majukumu
Kuna majukumu ya wanawake na majukumu ya wanaume
Hata jeshini Kuna wanawake ila hawafanyi mazoezi magumu kama ya wanaume na vitani hawapewi majukumu sawa na ya wanaume
 
Tukirudi nyuma miaka 75 watu walikuwa uchi kabisa na tulizoea kuona hizo nyonyo, paja mpaka k na Wala hakuna maajabu mno. Mbona wanyama hawavai nguo bana hebu ishi kiasili. Watu waliweka kiongozi hapo mbele nyonyo ilikuwa wazi ,huwezi ishi hapo kwa king mswati nakuona
Kwa mswati full burudani watu wanaenjoy tuu
 
Back
Top Bottom