PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Mkuu, mbona mke na bint yako tayari na ni kitambo tu wanafanya usiyoyataka?Wewe utamruhusu Binti yako au mkeo afanye hiyo kazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, mbona mke na bint yako tayari na ni kitambo tu wanafanya usiyoyataka?Wewe utamruhusu Binti yako au mkeo afanye hiyo kazi?
Mbona tayari wapo ambao huwa wanavaa!Zamu ijayo watavaa hijabu
Hizi haki sawa, sijui 50/50 ndo zinaharibu jamiiMimi sijawahi kuuelewa hata mpira wa miguu wa wanawake, labda ni mazoea.
kwanza mkuu ngara23, ktk taasisi yeyote nchini hakuna hata moja inayoajiri mtu kwa kigezo cha jinsia. Kwanza nawapongeza TFF kwa kuliona hilo.Kuna mgawanyo wa majukumu
Kuna majukumu ya wanawake na majukumu ya wanaume
Hata jeshini Kuna wanawake ila hawafanyi mazoezi magumu kama ya wanaume na vitani hawapewi majukumu sawa na ya wanaume
Baadaye unaona ni kawaida yaani siku ya Kwanzaa ndio unapata wenge Ila baadaye brain ikizoea nothing excited.Kwa mswati full burudani watu wanaenjoy tuu
Kumbe na ulaya napo kuna wanawake ngongozo 🤣🤣🤣Baadaye unaona ni kawaida yaani siku ya Kwanzaa ndio unapata wenge Ila baadaye brain ikizoea nothing excited.
Mie nimefika ulaya naona watu wanakulana midomo hadharani Kila mahala hata kwa public transport,malls etc ,pia nilipofika Kila demu wa kizungu nilikuwa namuona mzuri Ila with time nikaona kulana mate ni ishu ya kawaida mno na nikaanza kuwakwepa mademu wengine ambao hawakuwa na shape inayonivutia
Mtu Mzima Hachungwi,,Anachungwa Mbuzi.Sijakuelewa
Tafuta kazi ufanye mkuu itakuweka bize hutapata muda wa kuandika upuuziUnadhani kila mtu ana njaa kama yako,