Waamuzi wa kike kuchezesha mechi za kiume ni kuwadhalilisha hadharani

Waamuzi wa kike kuchezesha mechi za kiume ni kuwadhalilisha hadharani

Mimi sijawahi kuuelewa hata mpira wa miguu wa wanawake, labda ni mazoea.
 
Mimi sijawahi kuuelewa hata mpira wa miguu wa wanawake, labda ni mazoea.
Hizi haki sawa, sijui 50/50 ndo zinaharibu jamii
Sio kila kitu anachofanya mwanaume hadi mwanamke akiweze
Kiasili football ni mchezo wa kiume hauwafai wanawake
 
Kuna mgawanyo wa majukumu
Kuna majukumu ya wanawake na majukumu ya wanaume
Hata jeshini Kuna wanawake ila hawafanyi mazoezi magumu kama ya wanaume na vitani hawapewi majukumu sawa na ya wanaume
kwanza mkuu ngara23, ktk taasisi yeyote nchini hakuna hata moja inayoajiri mtu kwa kigezo cha jinsia. Kwanza nawapongeza TFF kwa kuliona hilo.
 
Kwa mswati full burudani watu wanaenjoy tuu
Baadaye unaona ni kawaida yaani siku ya Kwanzaa ndio unapata wenge Ila baadaye brain ikizoea nothing excited.
Mie nimefika ulaya naona watu wanakulana midomo hadharani Kila mahala hata kwa public transport,malls etc ,pia nilipofika Kila demu wa kizungu nilikuwa namuona mzuri Ila with time nikaona kulana mate ni ishu ya kawaida mno na nikaanza kuwakwepa mademu wengine ambao hawakuwa na shape inayonivutia
 
Kumbe na ulaya napo kuna wanawake ngongozo 🤣🤣🤣
Mie nikajua ulaya wote wazuri bwana
 
Yani wewe mpaka uingize mkono kwenye **** ya muamuzi Utoe bukta,skin tait,chupi. Kute uko unafata nini?
 
Kikao kijacho cha Wanaume tumepanga kumpa medali yule Kocha Msaidizi sijui wa Makipa aliyemshika papuchi (kama siyo matiti) Mwamuzi wa kati wa kike. Kocha alikuwa sahihi kwa % zote.
 
Kuna game moja Tatu malogo alipitiwa na Sadio kanoute na Sospeter bajana kibabe sana,
Wanawake wakachezeshe kwa wanawake wenzao.
 
Back
Top Bottom