DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Wadau
Inasemekana waamuzi wa kike wanaochezesha ligi ya wanawake hawajalipwa stahiki zao kwa zaidi ya misimu miwili mfululizo.
Inasemekana wakikumbushia wanaambiwa pesa zinatumika kusafirisha wachezaji wa timu kubwa ya wanaume…..swali je timu ya wakubwa haina mdhamini? Kama mdau wa soka najiuliza hawa dada zetu wanaishi vipi? Je wakipewa cha juu wataacha kuachia mechi?

TFF waseme wazi ni Nini kinawasumbua hawana Hela? Kama hawana zile faini wanazopigwa hizi timu za Simba na Yanga zinaendaga wapy? Mpira wetu unaanza kuonekana kuwa na Dosari nyingi Hadi dada zetu.Maoni yangu