Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sijasema wamenunuliwa soma tena. Hakuna siku nimeongelea marefa nikatuhumu rushwa. Ninachokijua binafsi Marefa wa Tanzania ni wavivu wa kutafuta "angle of view" na kufanya anticipation.Makolo acheni kulialia, mechi tulicheza na Geita... Nyinyi kama kinawauma sisi kuwa unbeaten 45... mnaona tulipendelewa, mara bahasha katoeni ushahidi TFF huyo refa alivyopewa hiyo hela... mmesema ni 10m?