Mtini JF-Expert Member Joined Apr 28, 2011 Posts 1,492 Reaction score 2,361 Apr 17, 2024 #1 Refarii pamoja na mmoja aliyekuwa chumba cha VAR
CODE-04 JF-Expert Member Joined Oct 17, 2023 Posts 961 Reaction score 2,716 Apr 17, 2024 #2 Lakini nasikia walipata shavu lingine kubwa kuliko hilo!!
KING KIGODA JF-Expert Member Joined Dec 28, 2018 Posts 3,893 Reaction score 3,145 Apr 17, 2024 #3 Sawa.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Apr 17, 2024 #4 Bila shaka hawana cha kupoteza hata baada ya kuondolewa. Maana malengo yao na ya wale walio watuma yatakuwa yametimia.
Bila shaka hawana cha kupoteza hata baada ya kuondolewa. Maana malengo yao na ya wale walio watuma yatakuwa yametimia.
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Apr 17, 2024 #5 Kwa hiyo ugomvi na kujinunisha vimeisha?
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Apr 17, 2024 #6 Kapewa shavu FIFA huyo mtesi wenu
ngajapo JF-Expert Member Joined Jun 3, 2012 Posts 1,782 Reaction score 3,525 Apr 17, 2024 #7 huyo refa kapata shavu zaidi ya hilo
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Apr 17, 2024 #8 Baada ya hapo ndio mmefuzu YANGA? Asante
S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 49,390 Reaction score 152,301 Apr 17, 2024 #9 Kalpana said: Kapewa shavu FIFA huyo mtesi wenu Click to expand... Baadhi ya sheria/kanuni za soka ni za hovyo na ndio chanzo cha yote haya.
Kalpana said: Kapewa shavu FIFA huyo mtesi wenu Click to expand... Baadhi ya sheria/kanuni za soka ni za hovyo na ndio chanzo cha yote haya.
S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 49,390 Reaction score 152,301 Apr 17, 2024 #10 ngajapo said: huyo refa kapata shavu zaidi ya hilo Click to expand... Atakuwa ameunganishiwa na yule Rais wa CUF.
ngajapo said: huyo refa kapata shavu zaidi ya hilo Click to expand... Atakuwa ameunganishiwa na yule Rais wa CUF.