NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
Shule za msingi enzi zetu kuna topic moja kwenye hesabu ilikuwa inaitwa hesabu za vizio au binary notation kwa kizungu.
Kuna kizio cha pili na hata cha tano lakini nataka leo niongelee kizito cha pili
Kizio cha pili ni mfumo wa namba ambao ni namba zinazo anzia sifuri (0) hadi moja (1)
Topic hii ilifundishwa darasa la sita,la saba na hadi kidato cha kwanza kwa miaka ile ya mwisho ya 70 hadi miaka ya mwanzo ya 80.
Nimefuatilia sana mitaala ya sasa hivi hii hesabu hazipo kabisa kulikoni?
Mifumo yote ya digital electronics,computers,calculators na programming zinafanya kazi kwa kutumia mfumo wa kizio cha pili.
Wewe unapobonyeza kwenye calcutator yako mfano 5+7= 12 wewe unaona umebonyeza tano na saba lakin kiukweli hizi namba ndani ya calculator zinatafsirwa katika kizio cha pili yaani sifuri na moja zinajumlishwa hilo jibu lako 12 na lenyewe linatafsiriwa kwa mfumo huo ndio sasa linageuzwa kuwa namba 12.
Najua ni wachache watanielewa labda waliosoma digital electronics na computer programming
Binary plays a critical role in computing because it allows computers to store and manipulate data using a system of switches that can be turned on or off, represented by the digits 0 and 1 . This binary code can represent any type of data, from text and numbers to images and sound.
Following is the list of advantages that binary system offers. Binary codes are suitable for the computer applications. Binary codes are suitable for the digital communications. Binary codes make the analysis and designing of digital circuits if we use the binary codes.
The binary number system is the base of all computing systems and operations. It enables devices to store, access and manipulate all types of information directed to and from the CPU or memory
Nimeamua nitoe ushahidi hapo juu
Wakati tunasoma shule kuna wanafunzi walikuwa wauliza faida ya baadhi ya topics ila kiukweli hakuna topic ya hesabu isiyo na faida inategemea kuwa utasoma hadi ufike kiwango gani cha elimu mfano:-
Simultaneous equations-hizi zinatumika kwenye mambo ya anga kuwa ni muda gani sayari au kupatwa kwa jua au mwezi utatokea na pia kwenye ratiba za train hasa za mwendo kasi.
Polynomial Functions-Huwezi soma engineering yeyote bila kuja hizi hesabu.
Trigonometric rations-Urefu wa mlima au upana wa mto au umbali toka nyota moja hadi nyingine huwezi kujua bila kupitia hesabu hizi.
Permutation and combination-Hii inatumika kwenye kutoa number plate za magari au vitu vingine au kupanga lot number,batch,Job number ya bidhaa.Pia kwenye bar code na QR Code.
Logarithimic functions-Hii inatumika kwenye mambo mengi ya engineering na hesabu za kiuchumi.
Exponential functions-hizi hesabu zinasaidia kwenye demograpy yaani elimu ya idadi ya watu na pia kupiga hesabu ya idadi ya bacteria kwenye colony.Pia hesabu za sayansi ya nuclear.
Nimeona nitoe mifano ila msisitizo wangu mnaopanga mitaala msikubali kuingiliwa na wanasiasa.
Mimi mwenyewe ningekuwa sijasoma hesabu za vizio miaka ya mwisho ya sabini primary na ya mwanzo ya 80 secondary ningepata tabu sana kwenye somo la digital electronics vizazi vya sasa vinapata tabu sana.