Waandaaji wa pambano la knock out ya mama mlipaswa kutumia brass band za majeshi yetu (TPDF, JKT, polisi au magereza) katika kupiga nyimbo za taifa

Waandaaji wa pambano la knock out ya mama mlipaswa kutumia brass band za majeshi yetu (TPDF, JKT, polisi au magereza) katika kupiga nyimbo za taifa

ministrant

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
754
Reaction score
1,478
Nimeshangazwa kuona waandaaji wa pambano hili ambalo linatazamwa Kimataifa na lina Jina la Mkuu wa nchi huku mgeni rasmi akiwa ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa well organized katika kuhakikisha nyimbo za Taifa zinapigwa katika ubora unaostahili badala ya kutumia recorded audio ambazo zina ubora wa chini.

Wakati mwingine muwe mnatumia Brass Band za Majeshi yetu yaani TPDF, JKT, POLISI au MAGEREZA ambao wana uzoefu katika kupiga nyimbo za Taifa katika viwango stahiki maana ndiyo huwa wanatumika kupiga nyimbo hizo katika shughuli za Kitaifa.
 
Back
Top Bottom