Waandamanaji Albania wamechoma Jengo la Mahakama Kuu Tirana

Waandamanaji Albania wamechoma Jengo la Mahakama Kuu Tirana

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Maandamano ya kupinga serikali yameendelea kushika kasi jijini Tirana, Albania, tangu Jumanne Oktoba 13, 2026 , huku maelfu ya waandamanaji wakimtaka Waziri Mkuu Edi Rama ajiuzulu.

Jana Oktoba 18, 2026 Maandamano hayo yalishika kasi, Kwa mujibu wa Al Jazeera, ofisi za Mahakama Kuu ya Albania jijini Tirana ilichomwa moto wakati maandamano hayo dhidi ya serikali yakiingia siku ya tano.

Vurugu hizi zilikuwa kubwa zaidi baada ya wanafunzi wa shule za sekondari na vyuo vikuu kujiunga na maandamano hayo yanayomfanya Waziri Mkuu Edi Rama ajiuzulu.

Polisi walisema watu 167 wamekamatwa na maafisa wa polisi 132 wamejeruhiwa.

Mkuu wa Polisi wa Taifa, Skender Hita, alisema: "Kwa siku tano, polisi wamekabiliwa na ghasia kutoka kwa watu waliovaa barakoa (maski) walioshambulia polisi na majengo ya serikali, na kuharibu mali za umma na za watu binafsi." Pia aliongeza kuwa polisi saba wamesimamishwa kazi ili kuchunguzwa kwa kutumia nguvu kupita kiasi.

Maandamano haya mapya yanafuatia miezi kadhaa ya mikutano iliyoandaliwa na vuguvugu la Flamingo. Vuguvugu hilo lilianza kupinga mradi mkubwa wa utalii katika pwani ya kusini mwa Albania, unaohusishwa na kampuni ya Jared Kushner (mkwe wa Donald Trump).

Usiku ulipoingia, polisi walipambana na waandamanaji katikati ya mji, huku moshi wa mabomu ya machozi na taka zinazoungua ukitanda kote. Vijana walichoma magari moto, wakashambulia ofisi za serikali, na kuwakimbiza polisi.

Waziri Mkuu Rama, aliyepo madarakani tangu mwaka 2013, amekataa kujiuzulu na amewatuhumu wapinzani wake wa kisiasa kwa kuchochea ghasia hizo.

Soma Maelfu ya vijana nchini Albania wameandamana katika mji mkuu wa Tirana, wakimtaka Waziri Mkuu Edi Rama ajiuzulu

Source: Al Jazeera, AP News
 
Maandamano ya kupinga serikali yameendelea kushika kasi jijini Tirana, Albania, tangu Jumanne 13, 2026 , huku maelfu ya waandamanaji wakimtaka Waziri Mkuu Edi Rama ajiuzulu.

Jana Oktoba 18, 2026 Maandamano hayo yalishika kasi, Kwa mujibu wa Al Jazeera, ofisi za Mahakama Kuu ya Albania jijini Tirana ziliungua moto wakati maandamano hayo dhidi ya serikali yakiingia siku ya tano.

Maandamano hayo yamejikita katika kupinga rushwa, changamoto za elimu na ukosefu wa ajira. Tukio la kuungua kwa ofisi za Mahakama Kuu limeongeza uzito wa hali ya maandamano yanayoendelea katika mji mkuu wa nchi hiyo.

Soma Maelfu ya vijana nchini Albania wameandamana katika mji mkuu wa Tirana, wakimtaka Waziri Mkuu Edi Rama ajiuzulu
Mwisho wa dunia🤣🤣
 
Wenzenu wameenda upande wa Sheria kuchoma MOTO

Nyinyi Mnaenda kuwauwa polisi 16 Mnaenda kuchoma vituo vya Mafuta
Mabasi ya kupanda masikini na mwendo kasi
Mnaenda kuchoma mpaka vyoo choo vya masikini

WAZUNGU wamepewa maarifa kitambo sana!!!
 
Wenzenu wameenda upande wa Sheria kuchoma MOTO

Nyinyi Mnaenda kuwauwa polisi 16 Mnaenda kuchoma vituo vya Mafuta
Mabasi ya kupanda masikini na mwendo kasi
Mnaenda kuchoma mpaka vyoo choo vya masikini

WAZUNGU wamepewa maarifa kitambo sana!!!
Heeeeeh 🙄🙄🙄 kweli wazunguu
 
Mnaiba Baa vyote Bia Soda Misosi mpaka TV wangene wamejibebea mpaka Baa med wa Arusha!!
Sasa ni Kuandamana kuwaandamisha kwa lazima!!!
 
Sasa wale wanajielewa nyinyi mtasakizwa kama mbwa
Wenye mbwa wamejificha

Samia must go Aleluyaaaaa Samia must go Aleluyaaaaa

Mkajibiwa Ameeeennniiii Ameeeennniiiii mwende kwa Aleluyaaaaa wenu¿¿

Kosa lipo wp???
Asa hivi ni kwenda kupiga miti kwenye Kaaba tu
 
Kuchanganya Siasa na Udini ni Hatari sana!!!☆❗

Kuchanganya Demokrasia na Udini ni Hatari sana ❗☆

Kwa mshikamano wa kitaifa

Dini zibaki kukemea mapepo ya chuki
sio zenyewe ndio zinasambaza chuki na mapepo yake✍️¿¿¿¿¿¿¿¿
 
WAISLAM watabaki wenye kuchukua hatua
Pamoja kwa halaka

Mfano ingekuwa Tanzania kuna Sharia za kislam

Ujue kiongozi wa Dini ya kislam akifanya kitendo na kitoto cha kiume manake kamwaribu yule Mtoto❗

Aisee Sisi hatua angalii Sheikhe Ustadhi
Kifo ni hukumu yake!!!

Sasa nyinyi sijui kama Duniani kuna nchi inafata miongozo yenu ya Dini

Dini yenu inamipango mingi sana chini ya Meza!!!!!
 
Sehemu zinazoongoza kwa kesi ya kulawitiana tanzania unguja,Pemba ,Tanga,dar es salaam na huko kote asilimia kubwa ndo wanao ongoza kuliwa

Weka takwimu za taasisi gani tupitie kwa pamoja ??

Pengine gazeti la Kikristo?????
 
Kesi za kulawitiwa WATOTO zipo Duniani kote kutokea MAKANISANI kwenu

Bisha tukiwekee Ushahidi ???
 
Na Ushoga ni zao la Wazungu kwa%100

Bisha tukuwekea Hoja nzito

Kwanini. WAZUNGU ndio mwenye USODOMA WAO KIDUNIA
 
Muhammad alibaka Aisha akiwa na miaka 6. Muhammad alikuwa anapenda kumwekea ulimi mdomoni mjukuu wake Hassan kila usiku, Muhammad alipandwa na wanaume weusi warefu usiku Al Zutt. We unataka kusemaje? Yani nyie ndio ata msiongee.
Kesi za kulawitiwa WATOTO zipo Duniani kote kutokea MAKANISANI kwenu

Bisha tukiwekee Ushahidi ???
 
Back
Top Bottom