mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
Waandamanaji mjini Bangladesh wavamia na kuiba vitu katika nyumba ya aliyekua waziri mkuu na kujiuzulu Sheikh Hasina aliyekimbia nchi kwenda kutafuta hifadhi india, Sheikh Hasina alijiuzulu nafasi yake ya uwaziri na kukimbilia kujificha India jumatatu Agosti 5 baada ya kupata taarifa kua waandamanaji wanaoipinga serikali wanaelekea nyumbani kwake, Aidha waandamanaji hao wanapinga serikali kwa kushinikiza kumalizika kwa ongozi wa kimabavu na ufisadi uliodumu kwa kipindi kirefu cha mgogoro wa kiuchumi.