Waandamanaji Nepal wachoma ofisi za Media iliyokuwa inaunga mkono Serikali

Waandamanaji Nepal wachoma ofisi za Media iliyokuwa inaunga mkono Serikali

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Ni wakati wa nchi na ulimwengu kwa vyombo vya habari kusimama kidogo na kutafakari wajibu wao katika kuripoti kwa uwazi na uwajibikaji.

===================================
Waandamanaji walichoma moto jengo la chombo kikuu cha habari "Godi Media House" nchini Nepal lililopo Kathmandu, linalohusisha ofisi za Kantipur na The Kathmandu Post. Jengo hili lilijulikana kwa kushirikiana na serikali katika kuripoti baadhi ya habari.

Waandamanaji wamesababisha jengo la chombo kikubwa cha habari nchini Nepal kuchomwa moto, hali inayotia doa utambulisho wa chombo hicho kama kinalenga kuunga mkono serikali.

​
 
Wananchi wa Nepal....safi sana na ikizingatiwa Nepal ndio nchi lpw IQ lakknk hawataki ujinga
 
Back
Top Bottom