Waandamanaji wadaiwa kuchoma ndege iliyokuwa imeegeshwa Uhuru Park

Waandamanaji wadaiwa kuchoma ndege iliyokuwa imeegeshwa Uhuru Park

hii ni sawa na mke na mume wamegombana, mke anachoma gari ya familia, anapata faida gani sasa? kitakachotokea watachukua kodi hizo hizo za wakenya hao hao wanaochoma, watanunua ndege nyingine, hasara kwa nani? hao wakenya waliochoma ndege hawatakuja kuipanda hiyo ndege watakayonunua kureplace. fikiri kabla ya kufanya. kama wewe unaipenda nchi yako, ila unachukia wezi, zile mali unazoona wameiba sio za kuchoma, ni za kuhifadhi walau ufaidike na kidogo ulichowakuta nacho.
Hio ndege ya uhuru park ni mbovu, iliwekwa hapo kama kivutio tu, hafanyi kazi mkuu.
 
Nasema hivi, hio cha mtoto, leo zakayo anaongea kwa zarau sababu analindwa, alichoongea leo ndio ameharibu zaidi kesho moto utawaka upya na hivi wameua watu ndio kabisaa
 
Back
Top Bottom