Waandishi acheni kuwapa airtime Mashekhe ni wazi wananunuliwa

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Mange Kimambi anampiga Rais haramu, je Mange Ni TEC?

Ally Kibao aliuawa kihuni, je alikuwa TEC

Nifa kakaa mahabusu mwezi, je alikuwa TEC?

Shehe ponda kaongea, je yeye ni TEC?

Zitto Kabwe kaibiwa uchaguzi halafu kawekwa ndani siku 6, yeye ni TEC?

Waliokamatwa na makesi ya uhaini kwenye maandamano 50% Ni waisalamu Hawa nao walilipwa na Nani ? TEC?

Acheni udwanzi waandishi uchwara na njaa zenu

Kuwapa airtime wahuni mnaonyesha upumbavu wa Hali ya juu.

Nawaambia shetani Hana rafiki Samia Hana rafiki anawatumia tu Kama toilet paper.

Acheni udwanzi mnakera Sana Hawa Mashehe sioni tatizo lao Cha msingi wapotezeeni acheni kuwapa airtime.

Hawana uelewa wa Jambo lolote Hawa wananunuliwa tu kwa kazi maalumu.

Samia hatumkatai kwa sababu ya dini yake hatumtaki kwa sababu hameshindwa kuwalinda Watanzania na raslimali zao

Aondoke tuanze upya

Na tarehe 9 tunatoka mtuue mbwa nyie .
 
Mange kimambi anampiga Rais haramu je Mange Ni TEC?

Ally kibao aliuwawa kihuni je alikuwa TEC

Nifa kakaa mahabusu mwezi je alikuwa TEC?

Shehe ponda kaongea je yeye Ni TEC?

Zitto kabwe kaibiwa uchaguzi halafu kawekwa ndani siku 6 yeye ni TEC?

Waliokamatwa na makesi ya uhaini kwenye maandamano 50% Ni waisalamu Hawa nao walilipwa na Nani ? TEC?

Acheni udwanzi waandishi uchwara na njaa zenu

Kuwapa airtime wahuni mnaonyesha upumbavu wa Hali ya juu.

Nawaambia shetani Hana rafiki Samia Hana rafiki anawatumia tu Kama toilet paper.

Acheni udwanzi mnakera Sana Hawa Mashehe sioni tatizo lao Cha msingi wapotezeeni acheni kuwapa airtime.

Hawana uelewa wa Jambo lolote Hawa wananunuliwa tu kwa kazi maalumu.

Samia hatumkatai kwa sababu ya dini yake hatumtaki kwa sababu hameshindwa kuwalinda Watanzania na raslimali zao

Aondoke tuanze upya

Na tarehe 9 tunatoka mtuue mbwa nyie .
Huu ni ukweli mtupu.
 
Waandishi wetu sijui nini wanafundishwa huko chuoni!?😢😢
 
Back
Top Bottom