Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 968
- 1,978
Mkuu kuna haja cerficates isifanyiwe usajili angalau hata diploma .........Labda wasajili walioajiriwa tu. Waandishi wa kujitegemea mara uandike, mara uache kuandika kutokana na malipo duni huo usajili utasaidia nini kama certificate inaishia kutambuliwa tu ila haitasajiliwa mpaka uwe na diploma na kuendelea?
utakuta mwandishi ana certificate na amefanya kazi vema muda mrefu, kuweka vigezo vya diploma na degree ndio usajiliwe hii haitakaa vizuri. Bodi ya ithibati wangesajili na certificate tu, habari ya kujiendeleza kwa ngazi inayofuata iwe ni hiari tu kwa mwandishi kutaka apandishiwe mshahara na kupata maarifa zaidiMkuu kuna haja cerficates isifanyiwe usajili angalau hata diploma .........
Kama Edo Kumwembe umemuweka kwenye kundi la Waandishi wa Habari basi tunaiomba Serikali Elimu izidi kutolewa.Eddo Kumwembe
JOSE mara
Swebe Nunda
Mauldi Baraka wa Kitenge
Wapuuzi wote wapiga kelele wajiandae kuliwa vichwa.
Nimemuweka hapo sababu sio Mwandishi wa habari hao kama sheria itafuatwa hatawasikika tena.Kama Edo Kumwembe umemuweka kwenye kundi la Waandishi wa Habari basi tunaiomba Serikali Elimu izidi kutolewa.