Waandishi na wachambuzi wa michezo ni wanafiki, wakiongozwa na Kitenge

Wakati Simba wanaelekea katika kufanya mabadiliko ya uwendeshaji wa klabu hio kulitokea Makundi matatu
1 Waandishi wa Habari za Michezo
2 Watangazaji wa Habari za Michezo
3 Wachambuzi wa Habari za Michezo

Makundi haya kwa Umoja wao yote yaliungana kuiponda klabu ya Simba na hasa muwekezaji Mo Dewji
Wengine walifika mbali zaidi kwa kuonyesha kuwa hili jambo la uwekezaji halifai na halina faida yoyote ile na kuionyesha jamii kuwa Mo Dewji ni kama vile ni mnyonyaji na anataka kuimiliki Klabu ya Simba pasi na hio klabu kupata faida yoyote ile

-Maulid Kitenge* aliamua kuongoza japo la wanahabari wake kumpa muda mrefu Mzee Kilomoni ili tu ionekane kuwa Simba imeporwa na Mzee kilomoni anachokisimamia yupo sahihi. Ilifikia wakati kipindi chake cha michezo mada ni Simba na FCC tu yaani yeye alijipambanua ni mfuasi wa wapinga mabadiliko ya Simba.

Ni kweli, ukweli huchelewa sana kueleweka leo Yanga wemefuata yaleyale waliyokuwa wakiyapinga hao Waandishi, watangazaji na wachambuzi wa habari za michezo.

Na hao hao wote bila ya chembe ya aibu wameisifia sana Yanga kama vile hili jambo ni jipya hapa Tanzania. Ukweli mpira wa Tanzania unahitaji uvumilivu kama walionao Viongozi Wanachama, Mashabiki na Wachezaji wa Simba licha ya juhudi kubwa ya kuliinua na kulipigania soka letu kimataifa bado Simba inapigwa vita sana na baadhi ya watu hasa Waandishi na Wachambuzi wa habari za michezo

Licha ya vitimbi vyote hivi tunawaambia bado mtaiga kila zuri au kila lililofanywa na Simba katika kuelekea mafanikio yenu kubwa acheni roho mbaya michezo si UADUI Michezo ni FURAHA na kizuri kiigwe na kibaya kiachwe.
Kitenge na jopo lake la vilaza ni wapumbavu sana
 
leo nimesikia mwandishi wa Efm anamuuliza msemaji wa GSB mbona yeye amekuwa mwungana hajawahi kugombana na waandishi wa habari, nikazima redio nikasema kumbe haji manara hakukosea kuwaita takataka yaani badaka ya kuuliza maswali wanajipendekeza.
Huyo kilaza amesahau wiki hii Hassan Bumbuli aliwaita waandishi washamba na wakang'aka sana. Yaani mtu ukishakubali kuwa mtopolo akili zinawehuka kabisa
 
Unatakiwa kuutambua utofauti kati ya Team ya Yanga na Club ya yanga. Club ya yanga ni taasisi ambayo team ni sehemu tu ya taasisi.

Engineer Hersi na GSM wamekita zaidi kwenye uwezeshaji wa Team. Usajili na kugharamia kambi. Attachment walionayo na club kama taasisi ni kupitia uuzaji wa jezi za Yanga. Hersi hausiki popote na management ya club, wanashirikishwa tu kama wafadhili. Tofauti sana na Babra aliepora management yote ya simba. Simba imeporwa team pamoja na taasisi yake.

Ndo maana GSM ofisi zao ziko Posta na sio pale jangwani. Msola utamkuta pale jangwan makao makuu ya club Akitimiza majukumu yake kama mwenyekiti. Sijajua mwenyekiti wa simba anamajukumu gani hivi sasa.

[emoji706][emoji706]
 
Mchakato wa Yanga uko tofauti kidogo na wa simba, japo lengo la michakato ni kufikia mabadiliko ya kiutendaji.

Mpaka hatua hii ilipofika kwa club ya yanga, bado muwekezaji hajajulikana atakuwa nani.yoyote ananafasi ya kuwekeza kwenye club ya yanga licha ya mchakato kufadhiliwa na GSM.

Mchakato wa simba ulikuwa tofauti kidogo..anaesimamia mchakato wa mabadiliko, tayari amechukua jukumu la kuiendesha club bila mchakato kukamilika. Na ananguvu kiasi cha kuover shadow uwepo wa mwenyekiti wa wanachama wenye asilimia 51. Majority hawamjui hata kwa jina mwenye kiti wa Simba wa sasa.

Kitendo hiki cha MO kuchukua usukani wa club kwa asilimia 100 kabla mchakato haujakamilika ndicho kinacholeta ukakasi kule FCC. Maana anaweza kutumia nafasi yakekutengeneza mazingira yatakayompa favor yeye zaidi wakati xlub inaingia kwenye mabadiliko.

Lakini jambo la pili, ni mchakato wa kumpata mwekezaji. Club ya simba ilitangaza zabuni ya kupata muewekezaji. Masharti ya muewekezaji yalikuwa kwenye tender document, na the highest bidder ndie alitakiwa kupewa timu. MO aliwazidi wenzie kwa kuwekeza bn 20. Ili ushindi wake uwe sahihi, alipaswa kutoa iyo pesa akabidhiwe club. Kitendo cha kusema anapisha ukaguzi wa mali za timu ni kinyume na utaratibu kwa sababu alipaswa kulijua hilo kabla hajasubmit tender document.ili wakati anabid thamani ya uwekezaji wake awe ameshafanya feasibility study ya thaman ya club nakujua bn20 ni sahihi hapa mtu unaweza ukajiuliza alifikiaje bid ya bn 20 wakati hakui thamani ya club, mali na madeni yake.bahati mbaya zaidi mshiriki wa tender anatoa masharti badala ya yeye kuafiki na kutimiza masharti ya tenda.

Kwaiyo, inaonekana alitumia njia yaulaghai kushinda tender na hakuwa tayari kuwekeza. Hii imewanyima fursa wawekezaji wengine, ambao either walibid pesa kidogo, lakini walikuwa tayari kuitoa instantly.

Yanga wanaenda vizuri...so far Mwenyekiti wao bado yuko firm kuongoza club.GSM nao wanabaki kama wafadhili mpaka hatua itakapokamilika.
Mkuu kunywa soda nitalipa
 
M
Wakati Simba wanaelekea katika kufanya mabadiliko ya uwendeshaji wa klabu hio kulitokea Makundi matatu
1 Waandishi wa Habari za Michezo
2 Watangazaji wa Habari za Michezo
3 Wachambuzi wa Habari za Michezo

Makundi haya kwa Umoja wao yote yaliungana kuiponda klabu ya Simba na hasa muwekezaji Mo Dewji
Wengine walifika mbali zaidi kwa kuonyesha kuwa hili jambo la uwekezaji halifai na halina faida yoyote ile na kuionyesha jamii kuwa Mo Dewji ni kama vile ni mnyonyaji na anataka kuimiliki Klabu ya Simba pasi na hio klabu kupata faida yoyote ile

-Maulid Kitenge* aliamua kuongoza japo la wanahabari wake kumpa muda mrefu Mzee Kilomoni ili tu ionekane kuwa Simba imeporwa na Mzee kilomoni anachokisimamia yupo sahihi. Ilifikia wakati kipindi chake cha michezo mada ni Simba na FCC tu yaani yeye alijipambanua ni mfuasi wa wapinga mabadiliko ya Simba.

Ni kweli, ukweli huchelewa sana kueleweka leo Yanga wemefuata yaleyale waliyokuwa wakiyapinga hao Waandishi, watangazaji na wachambuzi wa habari za michezo.

Na hao hao wote bila ya chembe ya aibu wameisifia sana Yanga kama vile hili jambo ni jipya hapa Tanzania. Ukweli mpira wa Tanzania unahitaji uvumilivu kama walionao Viongozi Wanachama, Mashabiki na Wachezaji wa Simba licha ya juhudi kubwa ya kuliinua na kulipigania soka letu kimataifa bado Simba inapigwa vita sana na baadhi ya watu hasa Waandishi na Wachambuzi wa habari za michezo

Licha ya vitimbi vyote hivi tunawaambia bado mtaiga kila zuri au kila lililofanywa na Simba katika kuelekea mafanikio yenu kubwa acheni roho mbaya michezo si UADUI Michezo ni FURAHA na kizuri kiigwe na kibaya kiachwe.
Mpwa tunakubaliana kwa mambo mengi sana lakini hili umeliongea kishabiki sana
 
Kitenge ni chakuraaa
 
Back
Top Bottom