Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Waandishi wa habari nao wamejitosa kwenye Kampeni ya kumtetea Rais Samia,
Ina maana utekaji, mauaji ya watanzania na unyanyasaji unaoendelea nchini hawauoni? hawausikii? Ama wameamua kushupaza shingo?. Simpangii mtu cha kusema lakini kwanini basi watu kama hawa ambao wananchi wanawategemea kuwapazia sauti wanaamua kuchagua upande ambao wananchi wanaulalamikia?
Mbali na wale wasanii tunaowakataa ni muda wa kuwakataa na waandishi wa habari ambao wanatetea Watanzania kuangamia.
Nimekumbuka kuna mahojiano aliyoyafanya Lissu na Clouds aliruka na yule mwandishi mwanadada na baadaye akaruka na Balile.