PreGE2025 Waandishi nao wamejitosa kwenye kampeni ya ku push hashtag, ya Kutiki Oktoba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Waandishi wa habari nao wamejitosa kwenye Kampeni ya kumtetea Rais Samia,

Ina maana utekaji, mauaji ya watanzania na unyanyasaji unaoendelea nchini hawauoni? hawausikii? Ama wameamua kushupaza shingo?. Simpangii mtu cha kusema lakini kwanini basi watu kama hawa ambao wananchi wanawategemea kuwapazia sauti wanaamua kuchagua upande ambao wananchi wanaulalamikia?

Mbali na wale wasanii tunaowakataa ni muda wa kuwakataa na waandishi wa habari ambao wanatetea Watanzania kuangamia.

Nimekumbuka kuna mahojiano aliyoyafanya Lissu na Clouds aliruka na yule mwandishi mwanadada na baadaye akaruka na Balile.

 
Tumeanza kupangiana namna tunavyowaza?

Mnataka mnavyowaza wote tuwaze hivyo!! Nilidhani demokrasia ni pamoja na kuheshimu fikra za wengine ilimradi hawavunji sheria.

Tuilaumu serikali kuhusu utekaji maana tumeipa mammlaka ya kuwalinda watu ila vyombo vya habari binafsi hapana. Millard Ayo anahaki ya kuweka taarifa aitakayo yeye. Diamond anahaki ya kupost akitacho yeye.

Na hatuna haki ya kuwalaumu kwa hilo.
 
No reform No election
No reform No election
 
Si wa kupangiwa lakini naamini wenyewe hayo mambo ya kuteka, kutesa, kutupia maporini,kutweza utu,kubaka wanawake, kufirwa na kuuwawa hayawahusu wanahabari kabisa.
NB;Hivi Azory Gwanda bado anataarifia chombo gani cha habari?🧐
 

Paskali , au namna gani? -- HE Ruto.
 
Aya mkuu ila No Reform No Election
 
Media zote machawa, hatuwataki kwenye haya mapambano tena bora wameanza kujitokeza ili tuwapige X
 
Wakikulawiti tutaheshimu maamuzi yako ila usije kulalamika hapa kuwa walikukosea
 
Free tundu lissu No reform No election 🇹🇿
 
Taifa hili lina maadui wengi wa ndani kuliko nje, tunateketea kwa wasaliti na wanafiki wa ndani ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…