DOKEZO Waandishi wa Habari Azam wanataabika Mikoani, wanahitaji msaada kulipwa stahiki zao

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Nakataa kuamini kwamba bakhresa hajui.

Hajui kivipi?

Tatizo ni kwamba wabongo tunaabudu matajiri.
Mkuu wala sio kama tunaabudu.
Yule mzee huwa naskia hadi umfikie ni ngumu.
Na ukijaribu kuwasilisha malalamiko basi wale wanaokusimamia watakushughulikia hadi ujute kaka.
Hata haya mashirika ya umma ingekua kuna namna watu tuna namba za viongozi wa juu tunawashitakia directly basi kungewaka moto kila kona kaka.
 
Hiyo buku sita nimetolea mfano mkuu.
Trip moja elfu 6 piga hesabu trip kumi hadi 20 jumla una shingapi.
Msimamizi anakukata nusu ya hela aisee.
 
Hiyo buku sita nimetolea mfano mkuu.
Trip moja elfu 6 piga hesabu trip kumi hadi 20 jumla una shingapi.
Msimamizi anakukata nusu ya hela aisee.
Ndio hivyo kama wewe hutaki atakuja mwingine atafanya bila hata hio Posho kwahio demand ni kubwa hata huyo msimamizi huenda ana orodha ya watu kama hamsini wengine ndugu zake kila siku wanambembeleza awatafutia kibarua hata kwa kumpa mshahara wa miezi sita...

The whole system is rotten na chanzo chake ni sio tu kwamba hakuna ujira wa kutosha bali kuna wengi wamekaa benchi hawana ujira wa aina yoyote (ila ndio hivyo na wao wanafanya kazi wakitegemea dili na ikitokea issue na wenyewe wanapiga)
 
Tanzania hakuna waandishi wa habari wala wahariri.

Kazi yao ni kutafuniwa taarifa kwa umma na viongozi wa serikali ya chama Dola kisha kudai ni habari, wakati wanetumika kama zana (tool) za kisemeo.

Tido Muhando aliwaonea huruma tu, ilitakiwa msipewe pesa yote hiyo muendelee kupokea bahasha za kaki toka kwa mashirika ya umma, taasisi za serikali ya chama dola kongwe kwakuwa waandishi ni mamluki wa watawala.
 
Jamani nimesoma nimeishia katikati Azam ni ya kweli haya?Kama ni ya kweli inasikitisha mno jmn.
Kujua kama ni kweli au si kweli, muangalie Ali Kamwe na Ahmed Ali wa Azam lingansha a walivyo sasa.
Unawwza ukasema kipindi wakiwa kule walikuwa wakishindia mahindi ya kuchoma na kuchemsha au mafenesi
 
Kwani lazima waendelee kuteseka siku zote na wao si wapo huru?
 
Kazi ipo...maisha kwa watanzania ni tabu
 
Mwindi ni mwindi tu 🫡
 
Wabinafsi sana wale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…