Waandishi wa habari umbeya mwingine zitawasababishia mpigwe bure ,Obren Chirwa sio wa mchezo mchezo

Waandishi wa habari umbeya mwingine zitawasababishia mpigwe bure ,Obren Chirwa sio wa mchezo mchezo

craq

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
859
Reaction score
1,866
Kitendo cha mchezaji Obren Chirwa kumtandika ngumi za mwana ukome mwandishi mbeya mbeya iwe funzo kwa waandishi wengine.

Jamani waandishi hata kama umbeya not to that extent mtakuja kuumia bure ,chanzo cha mwandishi kupigwa ngumi ni pale alipomuona Obren chirwa akibadilisha nguo ili aanze mazoezi sasa wakati chirwa akibaki na nguo ya ndani pichu mwandishi yule akachukua kamera yake na kuanza kumchukua video chirwa ili picha zile aziweke fent font kesho yake kwenye magazeti sasa kumbe Chirwa alikuwa anamchora tu yule ndugu mwandishi msomi baada ya kubadilisha nguo bwana Chirwa akamfuata mwandishi na kumuomba kamera ili afute zile picha chafu lakini ndugu mwandishi akawa hataki ndipo bwana Chirwa akapandwa na hasira na kuanza kumparamia mwandishi kabla ya kutulizwa

8620e605b0053e8d170f6f7dde74e20c.jpg
 
Huyo mwandishi atakuwa shabiki wa Matopeni FC,tandika kabisa huyo hana maana!
 
Kwani vp mbona huko mbele wachezaji wanachukuliwa picha wakiwa hata pool na hakuna shida
 
Kwani vp mbona huko mbele wachezaji wanachukuliwa picha wakiwa hata pool na hakuna shida
hata kwako hamna shida kama unavyopewa free lunch ya chakula+bint
lakini kwenye kuoa unajifanya under 16[emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Safi Chirwa....picha za pichu mwandishi shoga???,..wapinzani wanatumia mbinu chafu kuwamaliza wachezaji kisaikolojia
 
Wandishi wa Bongo ni pasua kichwa. Mwishowe angempa Haji Manara kabla ya mechi ya watani wa jadi ili kumtoa mchezoni Chirwa. Mwandishi kama huyo ni kapigwa kisawasawa. Bila shaka angeitoa kwenye mitandao watu wasijue imetoka wapi.
Kama Chirwa analaaniwa kwa ubondia, mbona sioni mtu anayelaani upumbavu wa Mwandishi. Hivi kazi yao haina miiko? Akampige picha baba yake akiwa na chupi tuone
 
Back
Top Bottom