Kitendo cha mchezaji Obren Chirwa kumtandika ngumi za mwana ukome mwandishi mbeya mbeya iwe funzo kwa waandishi wengine.
Jamani waandishi hata kama umbeya not to that extent mtakuja kuumia bure ,chanzo cha mwandishi kupigwa ngumi ni pale alipomuona Obren chirwa akibadilisha nguo ili aanze mazoezi sasa wakati chirwa akibaki na nguo ya ndani pichu mwandishi yule akachukua kamera yake na kuanza kumchukua video chirwa ili picha zile aziweke fent font kesho yake kwenye magazeti sasa kumbe Chirwa alikuwa anamchora tu yule ndugu mwandishi msomi baada ya kubadilisha nguo bwana Chirwa akamfuata mwandishi na kumuomba kamera ili afute zile picha chafu lakini ndugu mwandishi akawa hataki ndipo bwana Chirwa akapandwa na hasira na kuanza kumparamia mwandishi kabla ya kutulizwa