Hawa waandishi wa habari wanaosafiri kutoka Dar kwenda mikoani kama huko Arusha kwenye press conference huwa wanalipiwa na vyombo vyao vya habari au na yule aliyewaita kwenye hiyo press conference yake?
Kila media ina wawakilishi kila pande ya hii nchi hivyo hawatoki Dar kama unavyofikiria,ikitokea kuna mwandishi ametoka Dar itategemea hiyo story inahusu nini kama ni commercial news hiyo automatically aliyeandaa hiyo event atasimamia kufika kwao.
Hawa waandishi wa habari wanaosafiri kutoka Dar kwenda mikoani kama huko Arusha kwenye press conference huwa wanalipiwa na vyombo vyao vya habari au na yule aliyewaita kwenye hiyo press conference yake?
Bro hao wanalipwa;
1. Air ticket
2. Accommodation
3. Refresgment Takrima
4. Per diem
5. Meal allowance
6. Tour
Unaeza kuta anafunga 2.8M hadi 4M per two days trip, ili mradi tu uwe mlengo wa mwalikaji!