Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Nobert Hongoli na Wolter John Mbaga (Mhariri) Lumen Radio ya Karatu wamekamatwa na kuwekwa rumande Kwa AMRI ya DC
Lameck Karanga na wamekamatwa leo March 27,2026 asubuhi baada ya agizo la Mkuu wa wa Wilaya ya kuitwa wafike Ofisini kwake na Baadae kuamriwa kukamatwa na kupelekwa polisi
Kosa la kuandika Habari za kuleta taharuki kwenye jamii habari yenyewe inahusu wananchi kuhofia mafuriko baada ya Bwawa kujaa hivyo wanaomba Serikali kuchukuwa hatua.
DC anadai yeye pekee ndio anamamlaka kutoa taarifa za athari ya mafuriko.