Pascal Mayalla na wengine wengi wa enzi zile.
Ninyi mlijifunza aina ya uandishi wa habari za kiuchunguzi ndani ya nchi na nje ya nchi.
Mlijifunza aina hiyo ya uandishi ili muweze kumiliki vyeti, mvitunze kabatini au lengo ilikua ni nini?
Kwa sababu mmegoma kuandika habari za kiuchunguzi juu ya manabii, mitume feki ambao wanapotosha na kutapeli mali za watu hapa nchini.
Kuanzia kesho nitakua nasema jina la mwandishi na alikosomea ujuzi huo na kaamua kukaa kimya, wale mliosoma Marekani, Kenya, Israel, Ujerman, Urusi, nitawataja ili wananchi wajue kiburi chenu na mnavofurahia kizazi cha nchi hii kupotoshwa na matapeli wakati mnaweza kutumia kalamu yenu na kuokoa kama sio kuwaumbua matapeli waliojaa nchi nzima.