Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu Moka,@mockers,Pascal Mayalla na wengine wengi wa enzi zile.
Ninyi mlijifunza aina ya uandishi wa habari za kiuchunguzi ndani ya nchi na nje ya nchi.
Mlijifunza aina hiyo ya uandishi ili muweze kumiliki vyeti, mvitunze kabatini au lengo ilikua ni nini?
Kwa sababu mmegoma kuandika habari za kiuchunguzi juu ya manabii, mitume feki ambao wanapotosha na kutapeli mali za watu hapa nchini.
nimekusikia。
Karibu pande hizi
- Serikali iingilie kati Makanisa ya Miujiza? Watanzania masikini wa kutupwa wanakamuliwa mamilioni kwa utapeli huku wahubiri wakigeuka mamilionea
- Askofu Kakobe Asipuuzwe: Ni kama David Koresh na Camp Davidians!
- Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais
- Vijana Waahidiwa Utajiri Kwa Shurti la Kuweka Agano la Kutohama Efata-Mtume na Nabii Mwingira!.
- TCRA: Vipindi vya Mahubiri Kwenye TV Pia Viangaziwe/Vithibitiwe!. Mungu Yupo Ila pia Shetani Yupo!
- Nabii Malisa: Mungu ameniambia Corona ni April tu, May hakuna Corona na hakuna atakayekufa!.
- Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?
- Wosia wa Ask. Moses Kulola kwa Watanzania: Tuchague Rais kwa Kigezo cha Sifa Zake na sio Dini yake!
P