Waandishi wa habari za kiuchunguzi Tanzania, wapo wapi kuandika juu ya manabii na mitume hapa nchini ili kuokoa kizazi cha nchi hii?

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Pascal Mayalla na wengine wengi wa enzi zile.

Ninyi mlijifunza aina ya uandishi wa habari za kiuchunguzi ndani ya nchi na nje ya nchi.

Mlijifunza aina hiyo ya uandishi ili muweze kumiliki vyeti, mvitunze kabatini au lengo ilikua ni nini?

Kwa sababu mmegoma kuandika habari za kiuchunguzi juu ya manabii, mitume feki ambao wanapotosha na kutapeli mali za watu hapa nchini.

Kuanzia kesho nitakua nasema jina la mwandishi na alikosomea ujuzi huo na kaamua kukaa kimya, wale mliosoma Marekani, Kenya, Israel, Ujerman, Urusi, nitawataja ili wananchi wajue kiburi chenu na mnavofurahia kizazi cha nchi hii kupotoshwa na matapeli wakati mnaweza kutumia kalamu yenu na kuokoa kama sio kuwaumbua matapeli waliojaa nchi nzima.
 
Kwan wamelazimshwa kwenda au wenyw ndy wajinga kila sku wanapewa elimu wanatuona ss nmashetan aya waache wakanene kwa lugha wakja kushtuka wao wamebak maskn alaf manab wamekuwa mabilionea
 
Mkuu Arovera Haya unayoyaona ya kiboko ya wachawi imeanzia humu JF,
Hao waandishi unao wafahamu hawawezi andika kitu ambacho , wamekuwa wa baridi mno , waoga Sana, kwenye uandishi,

Japo ni makada watiifu wa mbogamboga, lakini ugumu wa maisha umewafanya kuwa machawa .

JamiiForums imebakia kuwa ndio platform pekee Kwa kuhabarisha habari za uchunguzi.
 
Ni kweli mkuu, tunahitaji zaidi ushahidi wa picha mnato, mahojiano ya siri yawekwe wazi bila wahusika hata kutajwa, hii itasaidia zaidi watu kufunguka, kuna watanzania wenzetu wengi wanatapeliwa mamilioni ya mapesa na the so called manabii na mitume
 
Labda tuwekeze Kwa kijana,Hao unao waandishi unao wafahamu wengi ni watu wazima sidhan kama wanaweza kufanya Haya mambo Tena.

Mfano Jeri Muro alikuwa ni mfano mzuri, lakini SS ivi kapotelea kwenye siasa
 
Hawana kitu hawana data nyingi
Eti leo hii mtu kama kuboko ya wachawi kawa mtume wakati shuguli yake ya mwanzo ya kuleta vipodozi sumu huku akiweka kwenye tanker washakamatwa sana,eti leo hii nabii mtume
Hii nchi ina wajinga wengi sana

Ova
 
Inasikitisha sana , watu wanatapeli mchana kweupe na kodi hawalipi nchi hii kweli shamba la bibi
 
Inasikitisha sana , watu wanatapeli mchana kweupe na kodi hawalipi nchi hii kweli shamba la bibi
Kama yule mohamed ally wa Kenya wa jicho pevu,jamaa anajuwa kufatilia habari na kudocument
Ile sakata la akasha alilufatilia alienda mpaka ubelgiji
Jamaa huwa anachimbua haswa

Ova
 
Kama yule mohamed ally wa Kenya wa jicho pevu,jamaa anajuwa kufatilia habari na kudocument
Ile sakata la akasha alilufatilia alienda mpaka ubelgiji
Jamaa huwa anachimbua haswa

Ova
Yule Kwa sasa ni mbunge asee, lakini alikua next level ni jasusi alietimia
 
Yule Kwa sasa ni mbunge asee, lakini alikua next level ni jasusi alietimia
Nishakutana naye wakati fulani nairobi πŸ˜„
Kuna sekeseke la stori alikuwa anataka kuanda la yule muuza ngada nguli mwanamama mkenya smbdy mama leila
Kuna nondo alikuwa anakula dah
Alivutiwq nazo sana,alipata vitu vingi
Kuna wabongo wako wanapenda sana kuanzisha podcast wawe wanazungumzia mambo magumu sema sasa mazingira sasa ,ila kuna watu vichwa vyao vimebeba mambo mengi hata hao wakina millard na wengineyo hawana na hawawezi kuvijua

Ova
 
Duuu wewe hatari sana mkuu, yule alikua anachimba habari na taarifa hadi mkiwa mahakamani hauhitajiki ushahidi mwingine tena
 
Duuu wewe hatari sana mkuu, yule alikua anachimba habari na taarifa hadi mkiwa mahakamani hauhitajiki ushahidi mwingine tena
Si uliona alivyochimba stori ya akasha family na biashara zao za mihadarati
Akasha miaka fulani mzee enzi za mwinyi alikaaga bongo ila alikuja kukimbia,kwanza ule ukoo ni mafia sana mohamed aly ashakutana na kashkash nyingi sana

Wamefungwa MAREKANI wale jamaa
 
They have family to feed and not the soceity to impress....Uandishi kwa serikali za kiafrica ni majanga sana ,ona kabendera yaliyomkuta...Paskali ana kampuni ya PPR moja ya wadau wake wakubwa wanaompa matangazo ni serikali...Kuandika habari ambazo zinaisema serikali au kusema usimamizi wake mbovu ni kujitia "mayalla" ,mayalla kikwetu ni NJAA.
 
Mkuu nimekuelewa Sana , ila tambua tunapoelekea ni pazuri ,
Kabendera kawapeleka Voda mahakamani, Voda wameomba poo, wanataka kuongea njee ya mahakama.πŸ’°
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…