Waandishi wa habari za michezo wajipange

Waandishi wa habari za michezo wajipange

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,052
Reaction score
4,104
Kuna kitu naonaga kabisa hakija kaa sawa nadhani wengi wetu tumeiona kwenye kutangaza habari za mpira.

Utakuta mtangazaji anatangaza timu fulani imeshinda goli 4 "sijui goli la nne lilifungwa na mchezaji baada ya kupokea pasi safi kutoka kwa beki akamalizia goli"

Lakin utakuta goli zilizofungwa hazioneshwi zaidi yakuonesha pasi za wachezaji hii kama mimi shabiki wa mpira naonaga kero ya habari za Tanzania watangazaji mbadilike muoneshe timu inavyoshinda magoli yote kama bbc swahili.
 
Waandishi wenyewe unaowazungumzia ni kina ENOCK BWIGANE? huyu mlevi anaipenda simba kuliko hata kazi yake ya utangazaji!
Ukikuta mwandishi anaacha kazi yake ya msingi na kuingia mpaka kwenye mambo ya kishirikin ya timu jua kuna hatari hapo ( BWIGANE ameshafika huko). Ni huyu bwigane anayetangaza mpira kishabiki ndiyo unadhani atabadilika?
 
Back
Top Bottom