Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Kuna kitu naonaga kabisa hakija kaa sawa nadhani wengi wetu tumeiona kwenye kutangaza habari za mpira.
Utakuta mtangazaji anatangaza timu fulani imeshinda goli 4 "sijui goli la nne lilifungwa na mchezaji baada ya kupokea pasi safi kutoka kwa beki akamalizia goli"
Lakin utakuta goli zilizofungwa hazioneshwi zaidi yakuonesha pasi za wachezaji hii kama mimi shabiki wa mpira naonaga kero ya habari za Tanzania watangazaji mbadilike muoneshe timu inavyoshinda magoli yote kama bbc swahili.