Hivi hayo unakopi kwa CHATGPT unayosoma au unakopi tu,?
Tatizo si Daudi, tatizo si Zaburi tatizo ni Qur’an kutumia neno lenye historia, lugha, na maana iliyo wazi, kisha kuliacha ligongane na mafundisho yake yenyewe.
Mimi nauliza maswali katika
lugha
historia
mantiki
consistency ya ufunuo
Kwa nini Qur’an itumie maneno ya vitabu vya awali bila kuyarekebisha kimaudhui kama yalikuwa yamepotoshwa?
Waislam wanaamini Quran na Mohamed.
Kama hakuna sehem Mohamed au Quran imeonyesha. Unapata wap ujasiri wa kusema Zaburi iliyopo sio ile aliyopewa Daudi..
Hauoni kuwa ni ubishan wa kijinga ambao hauna support evidence kwenye source zinazoaminika na jamii.
Ukiwa hata na akili tu ndogo unaweza kujua tu hilo.
Chagua moja tu,
Qur’an ikikiri neno Zaburi ni nyimbo basi Uislamu unapingana na Zaburi
Kama Zaburi si nyimbo basi Qur’an imetumia neno vibaya,imeiba neno la watu bila kujua maana yake
Muhammad hakujua maana halisi ya Zaburi
Qur’an ilinakili kutoka vyanzo vya Kiyahudi bila uhakiki
Ni lipi unalichagua, na kwa nini?
Kwahiyo Neno Zaburi kwenye Qurani ni Wahayi wa Muhamadi. 🤣🤣🤣🤣
Hakuna kitabu cha Mungu kilichoandikwa bila binadamu, lakini tofauti ni hili:
Qur’an iliandikwa na kuhifadhiwa chini ya ulinzi wa Mungu dhidi ya mabadiliko, Torati, Injili na Zaburi hazina ulinzi huo.
Kuandikwa na binadamu si tatizo; tatizo ni kubadilishwa na binadamu bila uhakika wa ulinzi wa Mungu
Historia na lugha zinathibitisha Zaburi ya leo si ile ya Daudi; Qur’an imehifadhiwa na Mungu, hiyo ndiyo tofauti ya uthibitisho
Okay .
Kwanza wote tuko mstar mmoja kuwa
- tourati , zaburi , Injili na Quran ni vitabu vya mbinguni kwa allah.
Ila kwenye Ulinzi wa hivyo vitabu. allah amekilinda zaid cha mwisho kisibadilishwe na wanadamu.
- ila pia so far hamjaleta ushahidi wa nini kilichoongezeka au kupunguza kwenye hivyo vitabu vitatu.
Kwahiyo mnaongea kwa hoja ambazo hazina ushahidi . Kwenye vitabu ambavyo mlivikuta. Mkaviamini na kupotosha visa vyake na mkajitungia kitabu chenu na kushawishi watu wakiamini chenu.
Na Wakristo kwasababu ni werevu. Kamwe Quran haitakaa ituhusu na kamwe hatutakaa kuiamini.
Nyinyi bakini hivyo hivyo kwa kuamini vitabu vya wakristo na kuamini kuwa vimewekwa maneno ya binadamu . Na ambayo hamna ushahidi nao.
Mm siendelei zaid ya hapa. M log off.
Nimesema na log off ila I cant stay calm 😎😎😎😎kuona upuuzi ukiendelea.
Niletee huo ushahidi.
Qur’an imehifadhiwa kwa uthibitisho na hifdh; ukweli wake hauwezi kupingwa kwa kejeli
Ushahidi wa kihistoria
Toleo la Kiebrania vs Septuagint
Zaburi za Kiebrania (Masoretic Text) na Septuagint (Tafsiri ya Kigiriki ya Biblia ya Kiebrania) zina tofauti kubwa:
baadhi ya mistari imepunguzwa, imeongezwa, au kubadilishwa maneno
mpangilio wa Zaburi tofauti: baadhi ya Zaburi zinatofautiana kwa namba na sura
Toleo la Kikristo
Zaburi za Kikristo zinaongeza baadhi ya Zaburi ambazo hazikuwepo kwenye asili ya Kiebrania
Hii inaonyesha: maneno ya leo hayako 100% kama aliyopewa Daudi
Historia ya maandiko
Zaburi za awali hazina toleo la kumbukumbu moja lililohifadhiwa bila mabadiliko
Wanahistoria wanakubaliana kwamba maneno yamebadilika kutokana na tafsiri, jaribio la kutafsiri, na makusanyo ya muda
Niliwah kukuuliza hili nadhan nikasahau ulichojibu.
Hebu nikumbushe
Hivi Yesu alizaliwa chini ya mtende kama Quran inavyosema.
Au alizaliwa zizin kwa ngombe kama Biblia inavyosema.
Je Tuamini story ya miaka 600 mbele tena iliyotoka sehem nyingne kwenye jamii nyingne na tuache kuamini story ambayo jamii husika ina ushahidi hadi leo.?
Aliyekuambia Quran imesema yesu kazaliwa chini ya mtende ni nani ??
Alipozaliwa yesu ndani ya biblia biblia imesema mahali tofauti
View attachment 3536901
Hivi Yesu alizaliwa chini ya mtende kama Quran inavyosema.
Au alizaliwa zizin kwa ngombe kama Biblia inavyosema.
Je Tuamini story ya miaka 600 mbele tena iliyotoka sehem nyingne kwenye jamii nyingne na tuache kuamini story ambayo jamii husika ina ushahidi hadi leo.?
Najua unacopy tu chat gpt bila kusoma na kuhakiki.
Sasa hapo wanaongelea tafsiri ya maneno na mpangilio.
Hata Quran ilibadilishwa mpangilio wa sura. Ni jambo la kawaida.
Anyway Toleo la kiislam je? La kwenye Quran? Liko wap?.
Zabur si ya allah. Toleo la kiarabu liko wap?.
Waarabu hawasomi kitabu alichoshusha allah?.
Mbona wakristo mko na hofu sana na Chartgtp kwani nyinyi hamwezi kuingia au ni marufuku kwa mkristo kuingia chartgtp. Mimi sijali muingie popote hii library yangu hapa imezidi hiyo chartgtp ina takriban masuala mengi mnayoyauliza. Kwa ufupi ni kuwa ;
Zaburi: Hakuna “toleo la Mungu lililohifadhiwa bila mabadiliko.” Maneno ya leo ni matokeo ya tafsiri na makusanyo ya kibinadamu.
Qur’an Wala haina tafsiri halisi ndani ya maandiko; tafsiri ni kuelewa kwa lugha nyingine. Qur’an yenyewe inabaki ile ile kwa Kiarabu.
Toleo la Kiarabu la Zabur: Halipo. Waarabu hawasomi Zaburi kwa Kiarabu, bali Qur’an ndio maandiko waliyopewa.
View attachment 3536911
Nakuwekea hapa alaf ujibu swali langu.
Quran 19 : 23 -27
19:23
Uchungu wa kuzaa ukampeleka kwenye shina la mtende, akasema: “Laiti ningekufa kabla ya haya, na ningekuwa nimesahaulika kabisa.”
19:24
Basi akaitwa kutoka chini yake (au karibu naye): “Usihuzunike. Hakika Mola wako ameweka kijito cha maji chini yako.”
19:25
“Na utikise shina la mtende, zitakuangukia tende mbichi zilizoiva.”
19:26
“Basi kula na kunywa, na utulize macho yako. Na ukimwona mtu yeyote, sema: ‘Hakika mimi nimeweka nadhiri ya kufunga kwa Mwingi wa rehema, basi leo sitazungumza na mtu yeyote.’”
19:27
Basi Maryam akaja kwa watu wake akiwa amembeba (mtoto). Wakasema: “Ewe Maryam! Kwa hakika umeleta jambo kubwa sana.”
Uchungu wa kuzaa ukampeleka kwenye shina la mtende...
Sasa kwanini mnasoma Quran kwa Kiarabu alaf Zaburi hamjaiweka kwa Kiarabu?.
Au sio kitabu cha allah?.
NB : hoja sio chat gpt. Hoja ni kuwa unacopy bila kusoma mantik ya robot ilivyokujibu.
Yenyewe sio malaika. Ika kosea. Na pia kama ww una search vitu vya kiislam daily. Bas imetunza kumbukumbu na kila siku itakuwa inakuwa upande wa waislam. Bila kuangalia upande wa uhalisia au ukristo.
Najua hili hujui. Ila ndio ujue sasa
Kwani Zabur waliletewa watu gani hata ituhusu sisi waislamu ??
Kwani Zabur waliletewa watu gani hata ituhusu sisi waislamu ??