Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Aya 19:23
Hapo Qur’an inasema Maryam alipoanza kupata uchungu wa kuzaa, alienda karibu na shina la mtende.
Hii haimaanishi alizaliwa chini ya mtende kabisa, bali akapata faraja karibu na mtende, na shina lilitumika kuwa sehemu ya mahali pa faraja.
View attachment 3536922
View attachment 3536924
Jagina kama sijakusikoa vizur . Umekana kuwa Zaburi sio ya allah.
Hebu ongeza saut
Qur’ani 3:3–4
“Amekuteremshia Kitabu kwa haki, kikithibitisha vilivyokuwa kabla yake; na akateremsha Taurati na Injili kabla yake kuwa uongozi kwa watu…”
Naona umeiambia AI ichore kabisa
😁😁😁
Haya na hili je
Quran 19 : 22
"Akamchukua mimba, kisha akajitenga naye mahali pa mbali."
Biblia inasema alijifungua akiwa na watu na Quran inasema alijitenga.
Je tuamini quran iliyokuja miaka 600 mbele?.
Nakukumbusha tu kuwa bado haujanijibu swali langu kuhusu kuzaliwa kwa Yesu . Chini ya mtende.
Tuendelee na hili la Zaburi.
Kwahiyo unakana kuwa Zaburi haiwahusu 😎😎😎😎😁😁😁😁.
Ila kwanza umenifanya nifikirie kingne?
Kwanini hamjaweka hivi vitabu kwa kiarabu wakati ni vya allah.
Na mmeambiwa mviheshimu na kuvisoma?.
(Tourat , Zaburi na Injili)
Qurani 2:136
"Sema: Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale yaliyoteremshwa kwetu, na yaliyoteremshwa kwa Ibrahim, Ismail, Is-haq, Ya‘qub na wajukuu, na yale waliyopewa Musa na Isa, na Manabii kutoka kwa Mola wao…”
Quran 4 : 163
"Hakika Sisi tumekuletea wahyi wewe kama tulivyo wapelekea wahyi Nuhu na Manabii walio kuwa baada yake. Na tulimpelekea wahyi Ibrahim na Ismail na Is-haka na Yaakub na wajukuu zake, na Isa na Ayub na Yunus na Harun na Suleiman, na Daud tukampa Zaburi."
Mathayo: amefocus kwenye Herode na ufalme, hakuna maelezo ya watu waliokaribu.
Luka: amefocus kwenye historia ya kijamii, sensa ya Kirumi, familia na wachungaji walikuwepo.
Nimegundua wewe husomi post zangu usingekuja na haya maswakli ya kitoto . na sijui unataka kitu gani ??au umechanganyikiwa ??Luka na Mathayo inasema wakat Marium anajifungua hakuwa mwenyewe na wala hakuwa chini ya mtende.
Kama inayodai Quran
Luka na Mathayo zote zinasema ni eneo moja . bethehemu.
Mathayo inasema ni kipind cha Mfalme Herode na miez ya kuhesabiwa sensa.
Luka haisem ni kipind gan.
Hakuna tofauti .
Luka na Mathayo inasema wakat Marium anajifungua hakuwa mwenyewe na wala hakuwa chini ya mtende.
Kama inayodai Quran
Luka na Mathayo zote zinasema ni eneo moja . bethehemu.
Mathayo inasema ni kipind cha Mfalme Herode na miez ya kuhesabiwa sensa.
Luka haisem ni kipind gan.
Hakuna tofauti .
Nimegundua wewe husomi post zangu usingekuja na haya maswakli ya kitoto . na sijui unataka kitu gani ??au umechanganyikiwa ??
Quran haisjasema Yesu kazaliwa chini ya mtende nimekuambia usome kuanzia post ya# 197. Anavyosema Luka ni tofauti na anavyosema Mathayo au nikuwekee tena .
Halafu Luka hakuwepo , kasem tokea Luka 1:1 amesikia kwa watu , tena hakuwataja halafu amesikia mtaani , wewe utaamini hapo ??
Soma nini hao waliokuandikia biblia na kukutafsiria , wanasema nini kuhusu injili ya Luka na Mathayo !!
The Gospel of Matthew:
"The unknown author, whom we shall continue to call Matthew for the sake of convenience, drew no only up the Gospel according to Mark but upon a large body of material (principally, sayings of Jesus) not found in Mk that corresponds, sometimes exactly, to material found also in the Gospel according to Luke. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1008)"
"As for the place where the gospel was composed, a plausible suggestion is that it was Antioch, the capital of the Roman province of Syria. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1009)"
So we clearly see, both the author or authors and the place of composition of the "Gospel of Matthew" are unknown.
Injili ya Mathayo hajulikani aliyeiandika.
Jina “Mathayo” ni la jadi tu, si uthibitisho wa kihistoria.
Mwandishi alinakili Injili ya Marko na vyanzo vingine visivyojulikana, ambavyo vinafanana pia na Luka.
Hata mahali ilipoandikwa haijulikani — Antiokia ni makisio tu.
Kwa ufupi: Injili ya Mathayo haina mwandishi anayejulikana wala mahali pa uandishi palipothibitishwa.
Usilete hoja nyingne.
Hatujaulizia nan kaandika Mathayo au Luka.
Hoja ni kuzaliwa kwa Yesu chini ya mtende.
Anzia pale quran 19:22.
Inasema alijitenga mbali na pia alipata uchungu akiwa chini ya mtende akiwa pekeyake.
(Haya tuseme bas alipata uchungu akiwa chini ya mtende ila hakujifungulia hapo alijikongoja had sehem nyingne)
Quran haisem kuwa alienda wap.
Ila zingatia "kujitenga mbali na kujifungua akiwa mwenyewe."
Ni tofauti kabisa na Biblia inavyosema. Marium alipata uchungu akiwa na watu na walimsaidia kujifungua.
Ndio nauliza tuamini Quran iliyokuja miaka 600 mbele?.
Kuhusu Luka 1:1.
Naomba malizia kusoma Luka 1:3
" Luka 1:3
[3]nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu,"
Zingatia neno "usahihi"
Nimekuambia kuwa Quran haisemi alijifunguwa chini ya mtende. na nimekuletea maelezo ya hao waliokuandikia biblia kuwa si mathayo wala Luka zote walioandika hawajulikani . Soma post ya #206 na " 207 au kiengereza huklfahamu ??.
Huyo Luka ameandika
Luka 24:44–48 kutoka Biblia ya NIV:
Luka 24
44 Akawaambia, “Haya ndiyo niliyowaambia nilipokuwa pamoja nanyi: Yote yaliyoandikwa kunihusu katika Sheria ya Musa, Manabii, na Zaburi lazima yatimizwe.”
45 Kisha akawafungua akili zao wapate kuelewa Maandiko.
46 Akawaambia, “Haya ndiyo yaliyoandikwa: Kristo atateswa na kufufuka kutoka kwa wafu siku ya tatu,
47 na toba na msamaha wa dhambi vitahubiriwa kwa jina lake kwa mataifa yote, kuanzia Yerusalemu.
48 Ninyi ni mashahidi wa mambo haya.”
ya hizi (Luka 24:44–48) zinadai kuwa imeandikwa katika Sheria ya Musa (Taurati) kwamba Yesu atakufa na kufufuka siku ya tatu.
Swali ni: Ni wapi katika Agano la Kale lote (si vitabu vitano vya Musa tu) kuna aya inayotabiri wazi kufufuka kwa Yesu siku ya tatu?
Tafadhali nionyeshe aya moja ya Agano la Kale inayotabiri ufufuo wa Yesu siku ya tatu.
Nitajibu hili..
Ila kwanza tukubaliane kuwa
Je "Marium alijitenga mwenyewe na akakaa chini ya mtende na akapata uchungu"
Je ilikuwa hivi?
(Futa ile kauli ya kujifungua chini ya mtende).
Je na Biblia inasema hivi?.
Nishakuambia kuhusu waandishi wa Mathayo na Luka. Na hapa usibadili mada.
Hoja yangu ni hiyo.
Nikuahidi tu. Ntakujibu mada yoyote inayohusu Ukristo na naomba unitag. Ww na Covax.
Ni jukumu Langu.
Ila jua kamwe Wakristo hawataitambua Quran kama nyinyi mnavyovitambua vitabu vyao. Kamwe
Wewe Shoga nilikukataza kunijibu wala kuni nukuu:Zaburi ni wahyi kwa Daudi; Qur’an inathibitisha maneno sahihi, Muhammad alikuwa mpokezi si mwandishi.”
Hata huyo mnayemfanya kuwa Mungu na kumuabudu badala ya Allah , aliambiwa ni shoga. Sikushangai .Wewe Shoga nilikukataza kunijibu wala kuni nukuu:
Mimi sijawahi kukujibu wala kukunukuu kwenye upumbavu wako:
Mimi sijibishani na Mashoga
Daudi ni nabii au mtume??Kabla ya kujibu maswali yako kwa nini ulishangaa kusikia Waislamu wanasema Daudi ni Nabii na wakati hata kwenye Biblia imeandikwa?
Ina maana husomi Biblia wewe bali unapenda kukurupuka tu au?
🤣🤣🤣
Wewe huna hadhi ya kujadiliana na mimi: Mimi Huwa sisomi unachoandika maana ni pumba tupu na kuupigia upatu USHOGA:.Hata huyo mnayemfanya kuwa Mungu na kumuabudu badala ya Allah , aliambiwa ni shoga. Sikushangai .
Quran haijapangwa na wanadamu? Uthman hakupanga Quran yake? Mohamed aliacha printed edition? Kwanini Uthman alichoma Quran zingine ili ibakie yake tu?Kuhusu Zabur na Biblia ya leo
Qur’ani inasema wazi:
“Na tulimpa Daudi Zabur.” (An-Nisaa 4:163)
Hii inamaanisha Zabur iliyo sahihi na ya asili ilipewa Daudi (a.s.) peke yake na ilikuwa wahyi wa Mungu.
- Biblia ya leo ina waandishi wengi, baadhi hawajulikani, na baadhi walikuwa makuhani, waimbaji, walimu, si Nabii Daudi peke yake. Hivyo haifichi asili ya Zabur.
- Kwa maneno mengine: Biblia ni mchanganyiko wa maandiko ya kiroho, historia, na muziki yaliyoandikwa na wanadamu, si wahyi wa moja kwa moja wa Mungu.
- Hii ni tofauti na mtazamo wa Kiislamu.
Hoja muhimu:
Zabur halisi ilikuwa wahyi pekee.
Biblia ya leo ni uhariri wa kibinadamu wa maandiko hayo.
Hii si kupinga Imani ya Kikristo, bali kueleza ukweli wa kihistoria na wa kiimani.
Kuhusu “ushahidi wa sasa”
Mwanafunzi wa Biblia anaweza kusema:
Hoja za Kiislamu ni za msingi:
Kwa ufupi: ushahidi hauna haja ya maneno ya kisasa ya mtu, maana Biblia yenyewe inaonyesha mchanganyiko wa wanadamu.
- Biblia yenyewe inatambua waandishi wengi (zaidi ya 7, baadhi hawajulikani). Hii inatofautiana na Qur’ani inayosema: Zabur alipewa Daudi peke yake.
- Historia inaonyesha mpangilio wa kitabu wa sasa wa Biblia umeratibiwa karne nyingi baada ya Daudi, na Ezra na wengine waliwekwa kama wahariri.
- Tafsiri, uhariri, na mchanganyiko wa maandiko yamechangia kuwa maneno ya asili ya Mungu hayaonekani kama yalivyo.
Kuhusu hoja ya kimaadili na hisia
- Watu wengi wanadhani Wakristo wana “haki miliki ya” Zabur, Lakini, kwa Kiislamu Zabur ni ya Mungu, si ya mtu.
- Hivyo, kusema Biblia ya leo si sawa na Zabur halisi si kudharaulisha wengine, bali kuweka ukweli wa kihistoria na wa kiimani.
- Kujibu kwa maneno ya hisia:
Hata huyo mnayemfanya kuwa Mungu na kumuabudu badala ya Allah , aliambiwa ni shoga. Sikushangai .Wewe huna hadhi ya kujadiliana na mimi: Mimi Huwa sisomi unachoandika maana ni pumba tupu na kuupigia upatu USHOGA:.
Katika kila mada lazima utamke neno Shoga:
Ili kujitangaza kwa Mabasha zako:
Ili nikuache sitaki uninukuu wala sitaki unijibu kivyovyote vile:
Nitawaomba Modereta (niku black)au mwanajimii forum yoyote anifundishe namna ya kufanya ili nisione unacho andika: Au ninacho andika
BothDaudi ni nabii au mtume??
Quran haijapangwa na wanadamu? Uthman hakupanga Quran yake? Mohamed aliacha printed edition? Kwanini Uthman alichoma Quran zingine ili ibakie yake tu?
Hii ya Misri ya mwaka 1924 mnayotumia leo haikupangwa kwa amri ya mfalme Fuad? Wasomi Wa Al Azhar university hakuzipa majina sura za Quran? Kuna sehemu yeyote Allah alihusika? Hiyo ndiyo Quran ambayo asilimia 90 waislamu mnaikairiri,una uhakika gani ndiyo Quran aliyoshusha Allah?
Kulinda umoja wa maandishi, si kuficha tofauti.
Kuchapisha Kamusi sanifu, si kuunda lugha mpya
“Hakika Sisi tumeiteremsha Qur’ani, na hakika Sisi ndio tutakaoilinda.”
(Al-Hijr 15:9)