NAbii ni cheo cha MWENYEZI MUNGU hivyo ili uwe nabii ni lazima MUNGU mwenyewe akutaje siyo utwaje na waarabu washenzi wa makha MWENYEZI MUNGU anamtaja daudi kama Mfalme 1samwel 16Nyinyi ndo hamsomi hata Biblia yenu ila wajuaji kinoma🤣🤣🤣
Kwenye Biblia kuna sehemu wameandika Daudi alikuwa Nabii
Waliiweka baada ya kutoka utumwani Babel ,wakaiweka kwenye mpangilio wa ZaburiNaipenda sana zaburi ya 90 zaburi ya mussa
Kwa hiyo wewe unaipinga hadi Biblia yenu inayosema kuwa Daudi alikuwa Nabii🤣🤣🤣NAbii ni cheo cha MWENYEZI MUNGU hivyo ili uwe nabii ni lazima MUNGU mwenyewe akutaje siyo utwaje na waarabu washenzi wa makha MWENYEZI MUNGU anamtaja daudi kama Mfalme 1samwel 16
Kaka kwahiyo mimi nikiota ndoto nikatabili kifo cha Samia tiari nimekuwa nabii?Alikuwa na manabii ni kweli ,lakini pia alikuwa nae pia ni nabii ,
Kuna nabii nyingi katabiri
Biblia inamuita ni nabii
Matendo ya Mitume 2:29–30
“Ndugu zangu, naweza kusema kwa ujasiri juu ya baba yetu Daudi kwamba alikufa na akazikwa, na kaburi lake li kwetu hata leo. Basi kwa kuwa alikuwa nabii, naye alijua ya kwamba Mungu alimwapia kwa kiapo...”
Ivi ile zaburi ya 72 ni ya naniWaliiweka baada ya kutoka utumwani Babel ,wakaiweka kwenye mpangilio wa Zaburi
Kuna ya Suleiman
Napenda sana Zaburi za kimasihi , kama Zaburi ya 22,Zaburi 110,Zaburi 45
Zile zaburi zinazomtabiri Yesu ,
Muhammad utume kwa mara ya kwanza kapewa na mkewe Khadija
Ya Suleiman ile ZaburiIvi ile zaburi ya 72 ni ya nani
Inasema
Bwana umpe Mfalme hukuma zako na mwana wa Mfalme haki yako
Atawaamua watu wako kwa khaki
Alafu hawa wajinga akina Al-mukheef wanamuona nabii na mtume waoMuhammad utume kwa mara ya kwanza kapewa na mkewe Khadija
Muhammad sio mtume ni tapeli tu ,ndio maana hana unabii wowote ule uliowahi kutimia ,hajawahi kuponya hata nzi ,
Mbona unabadili mada🤣🤣🤣
Hapana kaka, kuota ndogo ni moja tu ya njia Mungu anaitumia kukupa unabii ,ila sio kila anayeota ndoto ni nabii ,nebukadneza aliota ndoto kutoka kwa Mungu ,na hakuwa nabiiKaka kwahiyo mimi nikiota ndoto nikatabili kifo cha Samia tiari nimekuwa nabii?
Kauli ya MWENYEZI MUNGU ni ipi juu ya Mfalme daud? Kauli ya MWENYEZI MUNGU juu ya daudi ni Mfalme 1samwel 16
Wewe hata Biblia huijui vizuri unataka majadiliano na mimi muulize kwanza huyo Hamisi akuelezee habari zangu🤣🤣🤣Alafu hawa wajinga akina Al-mukheef wanamuona nabii na mtume wao
Sema jamaa aliwaweza sana kawaaminisha vitabu vyote vya MWENYEZI MUNGU vimechakachuliwa kutoa tu uharo wa qoran
Kumuamini muhamad inakuhitaji ujitoe akiliAlafu hawa wajinga akina Al-mukheef wanamuona nabii na mtume wao
Sema jamaa aliwaweza sana kawaaminisha vitabu vyote vya MWENYEZI MUNGU vimechakachuliwa kutoa tu uharo wa qoran
Habari gani wewe hata Quran tu HUIJUIWewe hata Biblia huijui vizuri unataka majadiliano na mimi muulize kwanza huyo Hamisi akuelezee habari zangu🤣🤣🤣
Daudi na uislamu wapi na wapi Mzee ?Mbona unabadili mada🤣🤣🤣
Je unakubali Daudi ni Nabii au sio Nabii?
Wewe si ndo ulidai kuwa Qur’an inamtaja mtawala wa Misri enzi za Yusufu kuwa ni Farao huku ukiitetea Biblia kuwa haijafanya hivyo🤣🤣🤣Habari gani wewe hata Quran tu HUIJUI
Una kichwa kigumu, maswali hujibu, unakazi ya kuchekachekaKwa hiyo wewe unaipinga hadi Biblia yenu inayosema kuwa Daudi alikuwa Nabii🤣🤣🤣
Namzungumzia huyohuyo mnayemzungumzia nyinyi ndio namuuliza huyo mwenzio ambaye hajui chochote kabisaDaudi na uislamu wapi na wapi Mzee ?
Hapa anazungumziwa Daudi mwana wa Yesu ,mfalme ,masihi wa YEHOVA ,nabii
Aliyetabiri kufa na kufufuka kwa Yesu ,
Wewe unamzungunzia Daudi yupo ?
Tuanzie hapo kwanza
Hiyo mada ilikushinda ,Wewe si ndo ulidai kuwa Qur’an inamtaja mtawala wa Misri enzi za Yusufu kuwa ni Farao huku ukiitetea Biblia kuwa haijafanya hivyo🤣🤣🤣
Je turudishe mjadala?
Mimi nataka tuanze na mjadala huo wa Qur'an kumuita mtawala wa kipindi cha Yusufu kama FaraoUna kichwa kigumu, maswali hujibu, unakazi ya kuchekacheka
Kama unajiweza ,niambie Zaburi kwenye Quran ,hilo neno Zaburi muhamad alilipata wapi na asili yake ni wapi hilo neno