Tunayemzungumzia Sisi ,je Unajua baba yake na ukoo wake ili tujue ni huyo huyoNamzungumzia huyohuyo mnayemzungumzia nyinyi ndio namuuliza huyo mwenzio ambaye hajui chochote kabisa
Je Daudi hakuwa Nabii?
Ilete tuone ilivyonishindaHiyo mada ilikushinda ,
Kaa hapa kwenye mada iliyopo ,kama unajiweza
Zaburi maana yake ni nini na asili ya hilo neno ni nini ,ili tujue muhamad hakulishwa matango pori
Unataka kukimbia mada ? Unaniogopa ?🤣🤣Mimi nataka tuanze na mjadala huo wa Qur'an kumuita mtawala wa kipindi cha Yusufu kama Farao
Anzisha mada Nitag hata keshoIlete tuone ilivyonishinda
Acha kunitoa kwenye reli mimi namzungumzia Mfalme Daudi Baba wa Mfalme SelemaniTunayemzungumzia Sisi ,je Unajua baba yake na ukoo wake ili tujue ni huyo huyo
Maana muhamad alikuwa na character wake anajitungia
Kwani nani wa kwanza kumuuliza mwenzake hapa?Unataka kukimbia mada ? Unaniogopa ?🤣🤣
Nauliza zaburi maana yake nini ?
Kama unataka hiyo mada ,anzisha Uzi nitagi nitakuja
😂😂😂😂😂Had sasa hvi scoreboard makafir 3-0 kobaz
Wewe siumetamba hapo ,sasa anzisha hiyo mada NitagMimi nataka tuanze na mjadala huo wa Qur'an kumuita mtawala wa kipindi cha Yusufu kama Farao
Mimi ndio nakuuliza sasa hapaKwani nani wa kwanza kumuuliza mwenzake hapa?
Nishajibu alikuwa nabii na mfalme ,hiyo hata sio mada ,wewe unamzungunzia Daudi yup wa ukoo upi?Acha kunitoa kwenye reli mimi namzungumzia Mfalme Daudi Baba wa Mfalme Selemani
Je hakuwa Nabii kwa mujibu wa Biblia?
Fatilia comment za nyuma ,nimemjibu ni nabii kwa mujibu wa biblia ,Kwani nani wa kwanza kumuuliza mwenzake hapa?
Nimecheka hapa, 😂😂😂😂😂😂Sawa. Kwahiyo umekiri kuwa Mohamed kaiba vitabu vya kiyahudi.
Nyinyi mna kaswida.
Watu mnachekesha hatariii, ko Daud alipendwa na Mungu kuliko Mtoto Yesu uzao wake??Daudi alikua Genius mwenye kila aina ya ufundi na vipaji yaani jamaa kila sector alifiti hadi tabia mbaya na uhuni ila nacho mwonea wivu alikua kipenzi cha Mungu mno,yaani Mungu anampenda Daudi kiasi kwamba hata Ibilisi ampelekee umbea mbaya Mungu kumhusu Daudi Mungu atapuuzia jamaa alikua kipanga haswa hadi raha,
Hivi hamis77 unajua raha ya kua na toto genius,tundu lenye matukio mtaani ila ni kipanga hamna mfano?
Ndio Daudi huyo!
😅😅
Jifunze kuleta hoja za maana zenye mashiko🤣🤣Wewe siumetamba hapo ,sasa anzisha hiyo mada Nitag
Kwasasa najadili hii ya zaburi na Daudi
Nitajie maana ya neno Zaburi na asili ya hilo neno
Tujue muhamad alilishwa maneno anayojua maana yake au hajui
Tatizo sio wewe tatizo huyo mwenzio Beira Boy ndio nataka hajibu maana yeye anakomaa hakuwa NabiiFatilia comment za nyuma ,nimemjibu ni nabii kwa mujibu wa biblia ,
Nimekurudia wewe ,nimeona unamtaja Daudi ndio nauliza Daudi yupi?
Muhamad alikuwa anajitungia character ambao anawasingizia na manabii wa kiyahudi
Ili tujue ni yupi, nitajie ni Daudi yupi wa ukoo upi
Nitajie maana ya neno Zaburi na asili ya hilo neno
Tujue muhamad alilishwa maneno anayojua maana yake au hajui
KAMA HUWEZI SEMA SIWEZI ,ACHA KUZUNGUKA ZUNGUKA
Nimekwambia kwa maandiko ?sio kila kitu ni maandikoJifunze kuleta hoja za maana zenye mashiko🤣🤣
Sasa maana ya neno Zabur na asili yake vina faida gani?
Au wewe unaweza kumuambia mtu maana ya neno Biblia na asili yake kwa kutumia maandiko??🤣🤣
Lete hoja fikirishi
Biblia ni Pana ,nimempa Aya na ameonaTatizo sio wewe tatizo huyo mwenzio Beira Boy ndio nataka hajibu maana yeye anakomaa hakuwa Nabii
Maswali yangu yamekushinda ? Unaogopa ?Mimi nataka tuanze na mjadala huo wa Qur'an kumuita mtawala wa kipindi cha Yusufu kama Farao
Ok kama sio kwa maandiko ngoja nikagoogle nikuleteeNimekwambia kwa maandiko ?sio kila kitu ni maandiko
Haya leta hapa tujue muhamad alikuwa anapewa maneno hajui hata maana yakeOk kama sio kwa maandiko ngoja nikagoogle nikuletee