Unatafuta uchochoro ukimbieNaona nimekupiga za uso🤣🤣
Si umetaka Google ukasema sio kwenye maandiko au uliogopa na mimi nisikuulize maana ya Biblia🤣🤣🤣
Sasa sinimekupa uwanja mpana ,Kumbuka hapa kabla hujaanza kulalamika🤣🤣🤣
NDIO MAANA NILISEMA MUISLAMU YEYOTE HATA MUFTI AULIZWE MAANA YA NENO ZABURI NA ASILI YAKEHao wanaosema hivo hawajui hata maana ya Neno ZABURI
Kama unabisha muulize sheikh yeyote hapa Tanzania,nini maana ya neno Zaburi na asili ya hilo neno ni wapi
Kisha muulize linafanya nini kwenye Quran?
Wewe mtoto wa ngapi kuzaliwa kwa wazazi wako cocastic?Niliuliza tyuu. Nipate kufahamu
Ahaa ni hivi Yesu kabla hajazaliwa kwa Bikira Mariam kama Mwanadamu alikua Neno la Mungu ambaye huyo Neno ndiye Mungu Mwenyewe!Niliuliza tyuu. Nipate kufahamu
Sasa kama ilishushwa iliwezaje kuchakachuliwa? Mbona Quran iliyoshushwa wanasema haijachakachuliwa.😎😎😎😎😎
Zabur ilikuwepo miaka 600 kabla ya Mtume. Na ni hiyo hiyo tunayoisoma leo.
Sawa bro. Kama sio hiyo.je iko wap?.
Ilikuwa ina nini ndan yake?.
2. Hebu niambie maana ya "kushushwa" unavyoelewa wewe.
Amen ubarikiwe!!!Nimeelewa
Tuoneshe ya kweliZabur ni kitabu cha mbinguni alichopewa Nabii Daudi (a.s.) peke yake, kama Qur’ani inavyothibitisha (Qur’an 4:163).
Zaburi ya Biblia ya leo si Zabur halisi, kwa sababu imeandikwa na watu wengi, wengine hawajulikani, jambo linalopingana na wahyi wa Mungu.
Kitabu cha wahyi hakiandikwi na makuhani, waimbaji au wanamuziki, bali hupokelewa na Nabii mmoja kupitia wahyi.
Kudai kuwa Ezra au watu wa baadaye walipanga Zaburi ni dalili ya mabadiliko (tahrif) ya maandiko ya awali.
Daudi (a.s.) katika Uislamu ni Nabii na Mfalme mcha Mungu, si msanii wa burudani; sauti yake nzuri ilikuwa kwa tasbihi, si tamasha.
Qur’ani pekee ndiyo kitabu kilichohifadhiwa na Mwenyezi Mungu bila kubadilishwa (Qur’an 15:9).
Kwa kumalizia :Zaburi ya Biblia ni mkusanyiko wa maandishi ya wanadamu, si Zabur ya kweli aliyoteremshiwa Nabii Daudi (a.s.).
Amina.Amen ubarikiwe!!!
AI hiyoUmejibu hoja kwa kutumia Quran?.
Natudia swali na kwa ufafanuzi.
Kwa kutumia Quran ambayo Haijaguswa. Nionyeshe wap imesema Zaburi iliyoko sio sawa.
Iko wap Zaburi iliyolindwa na allah?
Umejuaje kama hajui asili yake?Unatafuta uchochoro ukimbie
Mimi sikukupa limit ,nimekuomba maana ya neno Zaburi
Sasa kinachokukimbiza maswali hujibu unaleta porojo ni nini?
Ukijifunza kujibu maswali njoo ujibu ,hapa nadhani watu wamejionea jinsi dini yenu ilivyo shallow
Yaani muhamad kawapachikia maneno hajui hata asili na maana zake ,na huo ni mfano tu
Umejuaje kama hajui maana yakeSasa sinimekupa uwanja mpana ,
Ni wewe Ulete maana ya neno Zaburi ambayo Muhammad alipachika kwenye Quran
Sasa mbona maswali yanayofaya unayogopa kama UKOMA ?
inamaanisha hiyo maana ya Zaburi umeileta ila huiamini maana inakufunga
Na neno Zaburi kwenye Quran hujui muhamad alilipachikaje
Nikwambie Tu UISLAMU NI UTAPELI
HII INAONESHA MUHAMMAD SIO NABII NI KANJANJA TU
Kapachikiwa Hadi maneno ya Kigiriki ,kisiria ,kiyemeni kwenye Quran ambayo hajui maana yake
Zaidi kapachikiwa neno la kihebrania lenye maana YESU MASIHI NI MUNGU
Hakuna neno kama hilo watu tunaelewa kila kitu nduguZaidi kapachikiwa neno la kihebrania lenye maana YESU MASIHI NI MUNGU
Tit4Tat😁😁
dini ya kiislam imejaa vitu ambavyo hata mungu mwenyewe huenda anavishangaa. Unamlazisha Mungu kwamba ameshusha kitabu cha zaburi wakati walioandika waliwahi ishi hapa duniani, halafu huyo mungu ashushe kitu watu wachakachue awatazame tu kwani hao watu ndo wanao mwamulia Mungu cha kufanya?, Ile zuburi iliyochakachuliwa na hao watu iko wapi.Zabur ni kitabu cha mbinguni alichopewa Nabii Daudi (a.s.) peke yake, kama Qur’ani inavyothibitisha (Qur’an 4:163).
Zaburi ya Biblia ya leo si Zabur halisi, kwa sababu imeandikwa na watu wengi, wengine hawajulikani, jambo linalopingana na wahyi wa Mungu.
Kitabu cha wahyi hakiandikwi na makuhani, waimbaji au wanamuziki, bali hupokelewa na Nabii mmoja kupitia wahyi.
Kudai kuwa Ezra au watu wa baadaye walipanga Zaburi ni dalili ya mabadiliko (tahrif) ya maandiko ya awali.
Daudi (a.s.) katika Uislamu ni Nabii na Mfalme mcha Mungu, si msanii wa burudani; sauti yake nzuri ilikuwa kwa tasbihi, si tamasha.
Qur’ani pekee ndiyo kitabu kilichohifadhiwa na Mwenyezi Mungu bila kubadilishwa (Qur’an 15:9).
Kwa kumalizia :Zaburi ya Biblia ni mkusanyiko wa maandishi ya wanadamu, si Zabur ya kweli aliyoteremshiwa Nabii Daudi (a.s.).
Kamwambie Daud, Sorry Charlie , Mimi site Mfalme Saudi, wala wewe haikuhudu ZaburiTuoneshe ya kweli
Hayo ni maneno ya watu , ushahidi haupoNamaanisha karibu asilimia 70 ya zaburi kaziandika Daudi, kifupi yeye ndiye kaandika Zaburi nyingi