Tetesi: 'Waandishi wa Makonda' kwenda Ziarani Koromije

endapo katika safari hyo atatokea mwandishi hata mmoja na kueka namba halisi ya cheti au mwaka aliosoma bash nazan atasaidia saaana maana ili ushtaki NECTA inahitajika vielelezo kama hivyo.
 
Jamani! Jamani! Hii itakuwa ni Tume ya kwanza na ya aina yake kuwahi kuundwa duniani kote. Tujiandae kuwekwa Guiness book of Records. Tume inaundwa na mtuhumiwa mwenyewe, kwenda kuchunguza tuhuma dhidi yake yeye mwenyewe! Kwa kuhoji watu alioandaa yeye mwenyewe!! Ni Tanzania pekee!!!!!
 
Nahisi watu hawajaona tangazo LA tcra ndo maana wanamwagika namna hii
 
Unaendaje mwanza wakati tunataka vyeti aise???

Watufahamishe pia ni kwa budget kutoka wapi?
 

Aache blah blah alete vyeti.
 
Hakika huyu ni mwana kipenzi wa mfalme.

Kwahiyo ameandaa list ya watu wa kwenda kuhojiwa.
Na watu hao 'wameshajiandaa' kuhojiwa.
Hawa watu waache kutufanyia maigizo,huu ni upotevu wa rasilimali.
wakimaliza kazi waweke na vyeti kabisa
 
Mbona
Kuna mambo mengi muhimu kwa taifa yaliwashinda kufanya ufuatiliaji.

Anyway what do they want to achieve?
 
Jamani embu acheni ukweli waandishi gani mbona mnatapatapa,hakuna lolote hapo kama ana vyeti vinavyoonesha yeye Paul makonda alisoma primary na sekondari kwa jina hilo atoe mjadala uishe,msitafute kuwadanganya ili kujisafisha,toka lini mshukiwa alafu yeye ndo atume waandishi ili iweje.
 
Yanini kujisumbua na kujichosha kote huko, ni nini kinachomfanya ashindwe kutoa vyeti ili kuzima huu mjadala?

Huyu jamaa amechanganyikiwa bila shaka. Anafanya mambo ya kijinga kijinga tu.

Atahangaika lakini mwisho wa siku kinachohitajika ni vyeti.
Ukiombwa uongee kijapani na wewe hukijui na hutaki kukubali ukijui utafanyeje? Lazima uanze kona kona zisizokwisha!
 
Ngoja gwajima naye ajipange harafu mbona ni vitu simple tu kuonyesha viti
 
Pia jiulize huyo Paul Christian anayesemekana vyeti vyake vimetumiwa na Bashite mbona hatujamuona au hata ndugu zake kueleza alipo? Hadithi yenu imekosa mashiko
 
Hivi nyie ni nani na mmetokea wapi mpaka mnahoji mambo yanayo mhusu mkuu wa mkoa. Uwezo na madaraka hayo mmeyatoa wapi? Wote nyie ya wazekana ni wauza unga, mafisadi, mliojawa chuki, husuda, wivu nk. Mmetokea wapi?


Mara sauti ikasikika ikitokea nyikani ikisema, "sisi ni wapiga kura, ndio wapiga kura, tuliomchagua aliyekuteau na kukuweka hapo ulipo sasa. Na hachoki kutushukuru kwa kumchagua kila apandapo jukwaani katika ziara zake, iweje wewe unatudharauu, na kutusingizia kuuza madawa ya kulevya"?


Na washawasha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…