Waandishi wa mchongo, Kambole yupo katika usajili wa Yanga au mnasubiri kuletewa habari za umbea

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Yanga imemrudisha Tuisila Kisinda, ni mchezaji mwenye mbio kama mbuni lakini akili ya mpira hana, Kisinda awe winga mzuri asiitwe timu ya Taifa, awe mzuri Berkane wamtoe kwa mkopo, acheni utani, mnawasifia wachezaji ili kuwapandisha thaman wanunuliwe kwa bei ghali, tuambieni Kisila kachukua nafasi ya nani, kwanini mlimsajili Kambole kumbe hayuko fit, waàndishi wa mchongo na wachambuzi uchwara, where are you, mnasubiri Dejan akose goli muinange Simba.

Zuchu: Mtasubiri sana
 
Ngoja nikuongezee comment kwenye Uzi wako lakini Acha makasiriko Mkuu. Hata wewe hujui umeandika nini!
 
Yanga imemrudisha Tuisila Kisinda, ni mchezaji mwenye mbio kama mbuni lakini akili ya mpira hana, Kisinda awe winga mzuri asiitwe timu ya Taifa, awe mzuri Berkane wamtoe kwa mkopo, acheni utani, mnawasifia wachezaji ili kuwapandisha thaman wanunuliwe kwa bei ghali, tuambieni Kisila kachukua nafasi ya nani, kwanini mlimsajili Kambole kumbe hayuko fit, waàndishi wa mchongo na wachambuzi uchwara, where are you, mnasubiri Dejan akose goli muinange Simba.

Zuchu: Mtasubiri sana
Mke wetu FC
 
.
IMG-20220830-WA0006.jpg
 
Mbona kama umepaniki! Shida iko wapi?
 
Wewe noumbavu kisinda hajatolewa kwa mkopo berkane wamevunja mkataba wake,kaja yanga as a free agent
 
Nguruwe pori ingekuwa imetokea simba hyo issue ya kambole pasingalika huko mitandaoni ana gubu sana jamaa.
 
Alisemwa chama maisha yamemshinda,ila wao kwao ahaaa....
 
Yanga imemrudisha Tuisila Kisinda, ni mchezaji mwenye mbio kama mbuni lakini akili ya mpira hana, Kisinda awe winga mzuri asiitwe timu ya Taifa, awe mzuri Berkane wamtoe kwa mkopo, acheni utani, mnawasifia wachezaji ili kuwapandisha thaman wanunuliwe kwa bei ghali, tuambieni Kisila kachukua nafasi ya nani, kwanini mlimsajili Kambole kumbe hayuko fit, waàndishi wa mchongo na wachambuzi uchwara, where are you, mnasubiri Dejan akose goli muinange Simba.

Zuchu: Mtasubiri sana
Sijawahi kuuona mwandiko wa Mwanaume ukiwa namna hii
 
Back
Top Bottom