Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Yanga imemrudisha Tuisila Kisinda, ni mchezaji mwenye mbio kama mbuni lakini akili ya mpira hana, Kisinda awe winga mzuri asiitwe timu ya Taifa, awe mzuri Berkane wamtoe kwa mkopo, acheni utani, mnawasifia wachezaji ili kuwapandisha thaman wanunuliwe kwa bei ghali, tuambieni Kisila kachukua nafasi ya nani, kwanini mlimsajili Kambole kumbe hayuko fit, waàndishi wa mchongo na wachambuzi uchwara, where are you, mnasubiri Dejan akose goli muinange Simba.
Zuchu: Mtasubiri sana
Zuchu: Mtasubiri sana