imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Kweni uporaji wa Maduka na Uchomaji moto nazo ni ajenda za Waandamanaji?Kwani ufisadi sio athari za kiuchumi ama uko biased mkuu.
Maandamano kama haya yetu hapa Tanzania Maandamano ya AMANI hakuna Duka linaloporwa.