Kweni uporaji wa Maduka na Uchomaji moto nazo ni ajenda za Waandamanaji?Kwani ufisadi sio athari za kiuchumi ama uko biased mkuu.
Is that all you have? Seriously bro ππWale Moody wamewaweka kwenye Uchumi wa high risk
Kama umekufa si ufufuke, unangoja nini sasa?πHujamalizia. Sisi tuliokufa tufanyeje?
Kiukweli Tanzania tusifikirie kabisa mambo ya Maandamano yanarudisha nyuma Maendeleo
Fikiria Rais Ruto kila baada ya siku mbili anahutubia Taifa
Wahuni siyo Watu π
Kumbuka kenya ni nchi tunayopakana nayo kwahiyo tuombe tu Mungu vijana wasije kukopy kwa majirani...Kiukweli Tanzania tusifikirie kabisa mambo ya Maandamano yanarudisha nyuma Maendeleo
Fikiria Rais Ruto kila baada ya siku mbili anahutubia Taifa
Wahuni siyo Watu π
Ila Ulaya watu hawatumii maandamano kupora na kuibaUsifananishe Watu wanaojielewa na miz*ga inayotembea. Kenya iko level za ulaya kwenye watu kutambua haki na wajibu wao.
Baada ya kuandamana hizo haki wamezipata? Kama ndio, mbona bado wanalialia?Kwanini tusiwaige kama haki za msingi zinapuuzwa
wanaopora na kuiba ni ruto pro ili kuharamisha maandamanoIla Ulaya watu hawatumii maandamano kupora na kuiba