OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na walio enda National Team walienda na Corona, that means waliowaambukiza wenzao wote wa NT.Kwenye makala Edo Kumwembe kaandika kwamba Yanga walipoenda Morocco wachezaji watatu walikutwa na Corona ,ila kule kambini wakawaanbukiza wenzao 12 ,ikabidi wote warudi bongo maana wengine wameitwa timu za taifa halafu 12 wana Corona ,halafu sasa Yanga walivyoficha hiyo ishu utadhani ya aibu sana
Sasa hapo sijui ,ila Edo Kumwembe alikuwa kwenye kambi ya Yanga MoroccoNa walio enda National Team walienda na Corona, that means waliowaambukiza wenzao wote wa NT.
tulia mkuu hapo bado wachezaji wenu muhimu kadhaa hawajasingiziwa corona, mtajua hamjuiNa walio enda National Team walienda na Corona, that means waliowaambukiza wenzao wote wa NT.
Huyu manara anavyoshobokea si bure mzee tozi alikuwa anajimegeaView attachment 1938531
huyu manara sio mzima
she is crazy beyond repairView attachment 1938531
huyu manara sio mzima
Manara anafurahia mshahara tu hayo mengine watajua wananchi wenyeweView attachment 1938531
huyu manara sio mzima
Alizokuwa anavuliwa na Mzee Tozihizo chupli chupli za manara ndo mmea gani huo?
Yale mambo ya nitawaumbua, nitawadhalilisha bado hajayaacha tuView attachment 1938531
huyu manara sio mzima
sio mzima yani kwakuwa team yao imefanya vibaya anataka kuaminisha watu kuwa wanaofanya vizuri wanataumia magumashiYale mambo ya nitawaumbua, nitawadhalilisha bado hajayaacha tu
He*She* is crazy beyond repair
She*
Kwa mujibu wa sheria.Kwenye makala Edo Kumwembe kaandika kwamba Yanga walipoenda Morocco wachezaji watatu walikutwa na Corona ,ila kule kambini wakawaanbukiza wenzao 12 ,ikabidi wote warudi bongo maana wengine wameitwa timu za taifa halafu 12 wana Corona ,halafu sasa Yanga walivyoficha hiyo ishu utadhani ya aibu sana
Simba Sports Club haijawahi kataa kukosolewa asee labda imekuwa mbele kupinga attacksYanga kamatimu, hawajawahi kukataa kukosolewa Ila Simba wakikosolewa wanasema waandishi ni vilaza na wanapewa rushwa na GSM.